Nitawezaje kuwa hacker

kaka chukulia mfano hapo nyumbani kwenu, unapajua kila kona unajua udhaifu wa nyumba yenu na kila kitu. siku ukifungiwa nje unajua kuna ka mti unapanda unarukia ukuta unaingia ndani, unajua funguo wanaficha wapi, unajua choo kilipo nakila kitu.

ili uwe hacker mzuri inabidi uwe familiar na kila kitu unachotaka kuhack, kama ni software basi ujue lugha mbali mbali kiundani ujue udhaifu wake na nguvu zake then kwako itakua rahisi kuhack.

kwa lugha rahisi kuwa hacker inabidi usome sana hio field unayotaka kuhack, na hakuna shortcut.
 
Wakuu,

Uhacker ni kipaji cha kuzaliwa au ni kitu chakujifunza!?
Kama ni cha kujifunza nisome kozi gani ili niweze kuwa hacker!?

kitu computer science utajua vitu vingi jins ya kucheza na code flani na software flan kuzitumia kinyume...ubunifu na utundu mwingi unahusika
 
Tatizo mnaangalia sana movie za Hollywood. Then mnakuwa inspired..... Kaa ukijua ku hack si kitu rahisi.

Najua kwamba sio kazi rahisi na ndio maana nataka kujua how to became one!
 
kaka chukulia mfano hapo nyumbani kwenu, unapajua kila kona unajua udhaifu wa nyumba yenu na kila kitu. siku ukifungiwa nje unajua kuna ka mti unapanda unarukia ukuta unaingia ndani, unajua funguo wanaficha wapi, unajua choo kilipo nakila kitu.

ili uwe hacker mzuri inabidi uwe familiar na kila kitu unachotaka kuhack, kama ni software basi ujue lugha mbali mbali kiundani ujue udhaifu wake na nguvu zake then kwako itakua rahisi kuhack.

kwa lugha rahisi kuwa hacker inabidi usome sana hio field unayotaka kuhack, na hakuna shortcut.

Nimekuelewa mkuu!
Nawezaje kuupata huo ujuzi 'mtaani'
 
Jua kuandika vizuri kiingereza kwanza. Itakusaidia sana.

KisomaX
you're here to insult him or to help him copping the situation ?
If you've nothing to say sometimes it's better to shut up the fucking mouth bro.

i bet for it, you're not serious, i don't know you like that, actually maybe you've pissed with too much alcohol today, coz your comments gives me eyes cancer.
 
Nimekuelewa mkuu!
Nawezaje kuupata huo ujuzi 'mtaani'

hata mtaani unaweza kujifundisha, ila sio kitu cha kujua wiki moja au mwezi itabidi uvumilie miaka wakati unajifunza. kuna youtube, kuna material mengi tu. hakikisha tu unapata internet na computer nzuri. anza kujifunza vitu vidogo na basics za software na website.
 
nadhani mkuu chief mkwawa ameshafafanua vya kutosha bt kama unataka kuwa professional hacker like me tafuta kitabu kinaitwa HSE (hacking secrets exposed) cha srikanth ramesh kitabu hicho kitakusaidia katika nyanja zifatazo

kitakufunza codes&tricts za hacking

kitakufunza kujilinda zidi ya hackers au cyber threat

kitakufunza jinsi ya kutumia OS (operating systems)
lunex mint, obuntu, windows, macintosh osx, fedora

kitakufunza language of programming
python, java, oss (open source software) c plus plus
 
you're here to insult him or to help him copping the situation ?
I try my level best to help him.

you are not serious,

You too.

your comments gives me eyes cancer.
To be honestly that statement killed me. I laughed alot..... Big up bro.
If you've nothing to say sometimes it's better to shut up the fucking mouth bro.
I always do... But you never do so.

Have a great day bro snipa .
Hey Rapha ill be back.... Chill out! Relax and enjoy the tips from chief mkwawa.
 
Last edited by a moderator:
Rapha
Miluzi mingi humpoteza mbwa, just saying.
Kuna siku Mr Vivek Ramachandran alinikumbusha usemi huu "usijifunze kutumia penseli, jifunze kuchora" .

Unapotaka kuwa hacker jifunze kwanza jinsi yakutengeneza hivyo vitu vinavyohackiwa, sio tu eti ucheki basic kwenye youtube sijui na wapi huko, ni kazi sana kujifunza kupitia videos kwa wewe usiejua chochote kuhusu field hii.

Njia tatu zakuanza ili uje kuwa hacker ni hizi.

1- Soma Programming languages.
2- Soma Programming languages.
3- Soma programming languages.

Na utachagua kulingana na mahitaji yako wewe yawe ni nini !
kama Website hacking au ni kitu gani kingine unachotaka.

Hacking ni maisha yako ya kila siku, kwamba wewe life style yako iwe ni hacking, basi inahitaji sana moyo, na muda mwingi, hivyo basi kama wewe ni baba wa familia na una majukumu mengi basi achana nayo tu, ila walee wanao ili wajekufanya ki2 ulichoshindwa.

Maana kama umeoa na mkeo hana interest na hizi field itakuwa tu kero,
ila kama you still youth and you have baby mama anaejali unachofanya, anaeza kwambia kama hivi.
"Snipa saa 8 hii, amka baby uandike code".

Na kuwa hacker itakuchuwa muda mwingi kulingana na jitihada zako pamoja na uwezo wa akili.

Kama upo dar na unataka kujifunza programming i bet for you to cantact Mr Stefano Mtangoo nazani bado wanaendelea if am not wrong.

snipa
 
Last edited by a moderator:
hata mtaani unaweza kujifundisha, ila sio kitu cha kujua wiki moja au mwezi itabidi uvumilie miaka wakati unajifunza. kuna youtube, kuna material mengi tu. hakikisha tu unapata internet na computer nzuri. anza kujifunza vitu vidogo na basics za software na website.

Mkuu nawezaje kuwakwepa hackers?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom