IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,017
Hii ndio habari iliyopo ,msanii yeyote ukitaka kutenge na media zingine na wasanii wengine jiweke karibu na record label ya WCB.
Dully Sykes amethibitisha Jana wakati anahojiwa na bongo5.,kuwa anachukiwa na wasanii wenzake kisa kuwa karibu na WCB.
Pia Niko karibu na baadhi ya wasanii wanakuambia live bifu ni kubwa chuki ni kubwa xana.
Mfano mzuri juzi hapa kiba aliulizwa kuhusu kukutana jukwaa1 na harmonize lakini cha kushangaza alikimbia camera., jambo la ajabu km ye anashida na diamond ,hamo anahusika VP.
Mapambano makali yakiongozwa na mtu1 anaitwa b12 yanaandiwa kuangalia namna ya kuidondosha WCB kwa vyovyote vile.
Mkakati1 wapo ni kupiga marufuku wasanii wakubwa wasishirikiane nao,pia kuhakisha makampuni hayafanyi udhamini kwa WCB.
Zamani shilole alikuwa close na WCB kapigwa mkwara amejiweka mbali kwa sasa.
Lakini kitu kinachokwamisha ni ili entertainment iende huwezi kuwakwepa WCB,mda ule wa kufanyana km watoto uungu MTU haupo tena.
Ndio maana WCB wana endorsement kubwa kwenye radio na wasanii wao.
Nawashauri wasanii waache chuki haisaidii hata kidogo.