usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,901
- 13,870
We hujui kwani ?!
dhaaa nmecheka SanaB12 huyu huyu shoga????
We hujui kwani ?!
dhaaa nmecheka SanaB12 huyu huyu shoga????
Kwa nn umecheka mkuudhaaa nmecheka Sana
Malizia na mzee wa alteza AKA teza😂😂Sawa Lukamba
Lukateza NakubaliiiMalizia na mzee wa alteza AKA teza
Wewe tayari ushaole/][/wa na Mondi, unataka uolewe mara ngapi? na mama yako alikuwa mche/////pu//////ko wa Mondi ndiyo maana unalalamika kwanini mum//////eo Mondi ananyumba halafu wengine hawana? au Rayvan ameshaku//oa tayari maana si kwa povu hilo.Hahahhaha kwa hiyo hawatakiwi kuwa na nyumba kutokana boss wao wananyumba akili za wapi hizo hahahab itabidi baba'ko aollewe naye kwanza ndipo nifuate
Nashukuru baba'ko ni mke wa kwanza na me nimeacha bab'ko anaendelea nafikiri anafikiri atapata mtoto kama wew tenaWewe tayari ushaole/][/wa na Mondi, unataka uolewe mara ngapi? na mama yako alikuwa mche/////pu//////ko wa Mondi ndiyo maana unalalamika kwanini mum//////eo Mondi ananyumba halafu wengine hawana? au Rayvan ameshaku//oa tayari maana si kwa povu hilo.
Unachuki na hasira kama shoger. Utasubiri sana
Wabongo huwa tunapenda sana kulalamika hata sehemu ambayo tatizo lipo kwetu!
Zamani mlikuwa mnambebesha mzigo Ruge tukasema humu ndani baada ya Ruge kufariki basi Mambo ya hao wasanii yatakuwa vizuri ila maajabu zaidi mmeanza tena kumbebesha zigo lenu B12
Story ni tofauti lakini ukiunganisha dots, ni kitu kile kile?!Nachanganyikiwa nashindwa kuelewa, wakati wa Hayati boss Ruge palikuwepo problem wasanii na yeye,now Ruge is gone,imehamia WCB na wasanii!!!!!
Mbinguni mtaenda ila kwasasa hamuendi mbinguni.Na sisi mashabiki wa Whozu tunaweza comment?.....
Wafanyakazi wote wamerithishwa chuki.Ruge Alikua ni boss wa clouds na Lawama zilikua zikimuangukia yeye. Yale yalikua maamuzi ya clouds hata baada ya kufa Ruge Diamond na Jide bado nyimbo zao hazipigwi clouds.
So tatizo halikua Ruge kama mtu Bali Ruge kama boss wa clouds. Na tatizo limebaki vilevile Labada mpaka uongozi wa clouds uamue kurekebisha mambo
Marehem ameacha mbeguKumbe adui wa hawa watoto wanojiita wasanii hakuwa Ruge (RIP).....!
PointRuge Alikua ni boss wa clouds na Lawama zilikua zikimuangukia yeye. Yale yalikua maamuzi ya clouds hata baada ya kufa Ruge Diamond na Jide bado nyimbo zao hazipigwi clouds.
So tatizo halikua Ruge kama mtu Bali Ruge kama boss wa clouds. Na tatizo limebaki vilevile Labada mpaka uongozi wa clouds uamue kurekebisha mambo
Alafu wanataka mziki wetu uwe sawa na Nigeria,wakati wao wenyewe wasanii hawapendani na wamekubali kugombanishwa na washika dau.Wasanii wa Nigeria wanapendana na kubebana sana,wasanii wakubwa wanafanya collabo na wasanii wachanga na ndio maana Nigeria kila mwaka lazima kuna msanii mmoja ataenda kwenye Level za kimataifa.
Wakati si tukihangaika kumshusha Mondi wenzenu Nigeria wanahangaika kuwatengeneza akina WizKid wapya kama akina Kiss Daniel,Burnboy,Patoranking,Falz,Tekno nk na wamefanikiwa.
Mwisho wa siku kwenye matamasha makubwa wanajazana wao wa Nigeria,sisi tukibaki na Diamond tu sana sana labda na mwaka huu wameongezeka Rayvanny,Harmonize na Nandy,lkn mziki wa bongo umejaa chuki,fitina na wivu usiokuwa na msingi ambao haujengi tasnia ya mziki,mwisho wa siku anayejua kitu fulani anabaki kujua yy tu na mwenye connection anabaki nazo yeye mwenyewe.