Ukitaka kutengwa na wasanii jiweke karibu na WCB

Nukta5

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Messages
918
Points
1,000
Nukta5

Nukta5

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2014
918 1,000
Marvin zamani na juzi Tiwa Savage kaondoka sasa hivi YBNL ya alamide,Starboy ya Wizkid na label ya David kuna dogo Mayorkun yupo Vizuri sana,Marvin hawapo vizuri kwa sasa.
Product yake ipoje i mean wasanii wake wakoje na ameondoka kuelekea wapi na mafanikio yake ndani ya label yalikuaje msanii gani wa label yenu mwenye hata nyumba yake anaishai zaidi ya diamond kwenye hii record label kubwa africa
 
LICHADI

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Messages
2,488
Points
2,000
LICHADI

LICHADI

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2015
2,488 2,000
Sasa malalamiko ya nn kama wapo top kaka me hapo ndo napata tabu...nyamazeni pigen kaz huenda hamjatengwa ila kwa kuwa mpo top wenzenu mewaacha mbaaaaaaaalai sana so hamjatengwa ni umbali tu mlowaacha wenzenu NAOMBA MSILALAMIKE JAMANI.
tuliza kalio hilo mtahangaika sana ila wcb no moto mwingine ule
 
joseph1989

joseph1989

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Messages
3,156
Points
2,000
joseph1989

joseph1989

JF-Expert Member
Joined May 4, 2014
3,156 2,000
Product yake ipoje i mean wasanii wake wakoje na ameondoka kuelekea wapi na mafanikio yake ndani ya label yalikuaje msanii gani wa label yenu mwenye hata nyumba yake anaishai zaidi ya diamond kwenye hii record label kubwa africa
Nitajie waliobaka na mafanikio yao,Koredo bello kadrop,Rekado bank kadrop Dr Sid Kapotea kabisa kama unabisha fuatilia top ten ya nyimbo mara kwa mara MTV Africa na kuna kipindi spesho zinagongwa nyimbo za Nigeria tu angalia hata hiyo playlist ndio utagundua.
Ikiwa Diamond akiwaonyeshea nyumba yake hamuamini,akiwaonyesha msanii wake mtamwamini.Ila kama ujui Tetema imekuwa streamed Spotify kwa miezi miwili mara million 1.2 mpaka sasa ina miezi mitano ,sasa mtu kama huyu atashindwa kumiliki nyumba.

Tatizo mnawachukia sana WCB mpaka mnashindwa kuona ukweli,ila siku zote ukweli utabaki kuwa ukweli ukitaja label tano za Africa WCB wamo,Rayvanny ana show ya essence festival ambayo ndani yake itajumuisha akina pharell,Timberland,Nas ,Mary J Bridge Marekani,ana show Ureno ambayo ndani yake yupo Steflon Don wa Jamaica,Diamond na Harmonize wana show za One Africa miji ya London,Dubai na New York mpaka hapo utapata picha halisi ya ukubwa wa WCB.

Usipime vitu kwa kuongozwa na hisia na ukasahau UHALISIA,hata usipoongea ww ila ukweli hautobadilika.
 
Johnny Impact

Johnny Impact

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
1,880
Points
2,000
Johnny Impact

Johnny Impact

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
1,880 2,000

Timu Kiba acha presha. Hayo ni matokeo ya mtu mmoja mmoja kwahiyo ulitegemea Diamond awajengee nyumba? Acha chuki
KUIMBA MUZIKI MZURI NDIYO KINACHOWABEBA WASANII WOTE NA SIYO JINA. Kama unafikiri ukishika mic utajulikana ingia studio na wewe imba tukusikie. Wasanii wa siku hizi wanafikiri kupitia matako ndiyo maana wameshikwa makalio na B12 huku wamesahau kuwa MUZIKI MZURI ndiyo utakubeba.
WCB wameshajua watu wanataka muziki mzuri ndiyo maana wamekaza hapo. Wao waendelee kufanya chuki na kampeni za kijinga halafu mwisho wa siku ndiyo watajua kuwa walikuwa wanapoteza nguvu.
KUWAANGUSHA WCB NI KUIMBA MUZIKI MZURI KUSHINDA WAO. HIYO NDIYO DAWA TOFAUTI NA HAPO HAWATAWEZA
 
I

innocent dependent

Member
Joined
Jun 8, 2019
Messages
43
Points
125
I

innocent dependent

Member
Joined Jun 8, 2019
43 125
Mimi huwa sina timu ila napenda muziki mzuri. Wasanii kinachowabeba ni kuimba muziki mzuri na siyo vinginevyo. WCB wanaimba muziki mzuri ndiyo maana wapo kwenye chati. Unajua kuna watu wanaongozwa na ushabiki na hisia.
Muziki mzuri ndiyo unaowabeba WCB na si kingine.
Ni kweli ulichoongea wcb wanafanya mziki mzuri hata me mwenyewe napenda miziki yao ndo maana wapo on top lkn uwezi kudharau mchango wa mashabiki zao ambao wapo wengi Sana wanaowasapoti wasanii wengine wanashindwa sometimes cos wanamashabiki wachache mfano rich mavoko wa wcb ngoma zake zilikuwa Zina hit sana lkn Sasa hiv hazifanyi vizuri unajua sababu gani? Jibu unalo ebu mwangalie barnaba ana kipaji kizuri lakini ajawahi kuwa top sababu gani? jibu unalo mwingine Belle 9 nae tatizo lilelile.kingine ninakiona binafsi pia wanajua kujibrand kuliko wasanii wengine Kuna vitu vingi Sana vinavyowafanya wcb wawe juu.
 
Nukta5

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Messages
918
Points
1,000
Nukta5

Nukta5

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2014
918 1,000
Nitajie waliobaka na mafanikio yao,Koredo bello kadrop,Rekado bank kadrop Dr Sid Kapotea kabisa kama unabisha fuatilia top ten ya nyimbo mara kwa mara MTV Africa na kuna kipindi spesho zinagongwa nyimbo za Nigeria tu angalia hata hiyo playlist ndio utagundua.
Kupotea wanaweza kuwa wamepotea lakin sio wakuwalinganisha kimafanikio na wcb nakuhakikishia ipo siku utakuja kusikia wanalalamika wananyonywa kwamba kazi zao zote ni kwa ajili ya kukuza kampuni na hivi hawana share kazi kutaja wasafiii watalia machozi wakiwaona wakina Mr. Blue kwenye nyumba zao wakina barnaba kwenye nyumba zao hawana stress
 
Nukta5

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Messages
918
Points
1,000
Nukta5

Nukta5

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2014
918 1,000
Timu Kiba acha presha. Hayo ni matokeo ya mtu mmoja mmoja kwahiyo ulitegemea Diamond awajengee nyumba? Acha chuki
KUIMBA MUZIKI MZURI NDIYO KINACHOWABEBA WASANII WOTE NA SIYO JINA. Kama unafikiri ukishika mic utajulikana ingia studio na wewe imba tukusikie. Wasanii wa siku hizi wanafikiri kupitia matako ndiyo maana wameshikwa makalio na B12 huku wamesahau kuwa MUZIKI MZURI ndiyo utakubeba.
WCB wameshajua watu wanataka muziki mzuri ndiyo maana wamekaza hapo. Wao waendelee kufanya chuki na kampeni za kijinga halafu mwisho wa siku ndiyo watajua kuwa walikuwa wanapoteza nguvu.
KUWAANGUSHA WCB NI KUIMBA MUZIKI MZURI KUSHINDA WAO. HIYO NDIYO DAWA TOFAUTI NA HAPO HAWATAWEZA
Jiheshimu kidogo kaka mkubwa maana ya kuimba au kufanya kazi ni mafanikio kama unatumia akili sio FAME ukisema kazi yako wcb ni kutoa nyimbo nzuri ila kipato wanafaidi diamond managers pamoja na kampuni hata familia itakushangaa ndio maana wanapoozwa kwa kupangiwa nyumba ili usipate kuhoji lini utakua na maamuzi ya hela zako ujenge nyumba yako mwenyewe
 
I

innocent dependent

Member
Joined
Jun 8, 2019
Messages
43
Points
125
I

innocent dependent

Member
Joined Jun 8, 2019
43 125
Nitajie waliobaka na mafanikio yao,Koredo bello kadrop,Rekado bank kadrop Dr Sid Kapotea kabisa kama unabisha fuatilia top ten ya nyimbo mara kwa mara MTV Africa na kuna kipindi spesho zinagongwa nyimbo za Nigeria tu angalia hata hiyo playlist ndio utagundua.
Ikiwa Diamond akiwaonyeshea nyumba yake hamuamini,akiwaonyesha msanii wake mtamwamini.Ila kama ujui Tetema imekuwa streamed Spotify kwa miezi miwili mara million 1.2 mpaka sasa ina miezi mitano ,sasa mtu kama huyu atashindwa kumiliki nyumba.

Tatizo mnawachukia sana WCB mpaka mnashindwa kuona ukweli,ila siku zote ukweli utabaki kuwa ukweli ukitaja label tano za Africa WCB wamo,Rayvanny ana show ya essence festival ambayo ndani yake itajumuisha akina pharell,Timberland,Nas ,Mary J Bridge Marekani,ana show Ureno ambayo ndani yake yupo Steflon Don wa Jamaica,Diamond na Harmonize wana show za One Africa miji ya London,Dubai na New York mpaka hapo utapata picha halisi ya ukubwa wa WCB.

Usipime vitu kwa kuongozwa na hisia na ukasahau UHALISIA,hata usipoongea ww ila ukweli hautobadilika.
Asipokuelewa hapo Basi atakuwa anamatatizo ya akili
 
joseph1989

joseph1989

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Messages
3,156
Points
2,000
joseph1989

joseph1989

JF-Expert Member
Joined May 4, 2014
3,156 2,000
Kupotea wanaweza kuwa wamepotea lakin sio wakuwalinganisha kimafanikio na wcb nakuhakikishia ipo siku utakuja kusikia wanalalamika wananyonywa kwamba kazi zao zote ni kwa ajili ya kukuza kampuni na hivi hawana share kazi kutaja wasafiii watalia machozi wakiwaona wakina Mr. Blue kwenye nyumba zao wakina barnaba kwenye nyumba zao hawana stress
Kupotea wanaweza kuwa wamepotea lakin sio wakuwalinganisha kimafanikio na wcb nakuhakikishia ipo siku utakuja kusikia wanalalamika wananyonywa kwamba kazi zao zote ni kwa ajili ya kukuza kampuni na hivi hawana share kazi kutaja wasafiii watalia machozi wakiwaona wakina Mr. Blue kwenye nyumba zao wakina barnaba kwenye nyumba zao hawana stress
"Ikiwa Diamond akiwaonyeshea nyumba yake hamuamini,akiwaonyesha msanii wake mtamwamini."hujanijibu hili swali.
 
Nukta5

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Messages
918
Points
1,000
Nukta5

Nukta5

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2014
918 1,000
"Ikiwa Diamond akiwaonyeshea nyumba yake hamuamini,akiwaonyesha msanii wake mtamwamini."hujanijibu hili swali.
Diamond nyumba zake zote naamini toka amepanga pale sinza akaanza kujenga madale na hiyo alionunua SA naamini sana maana alikua kijana mwenye vision na mission ila uongozi wake wa sasa umewafunga wenzake wasiwe na hayo mafanikio
 
joseph1989

joseph1989

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Messages
3,156
Points
2,000
joseph1989

joseph1989

JF-Expert Member
Joined May 4, 2014
3,156 2,000
Diamond nyumba zake zote naamini toka amepanga pale sinza akaanza kujenga madale na hiyo alionunua SA naamini sana maana alikua kijana mwenye vision na mission ila uongozi wake wa sasa umewafunga wenzake wasiwe na hayo mafanikio
Umejuaje kama kawafunga?
 
Johnny Impact

Johnny Impact

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
1,880
Points
2,000
Johnny Impact

Johnny Impact

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
1,880 2,000
Ni kweli ulichoongea wcb wanafanya mziki mzuri hata me mwenyewe napenda miziki yao ndo maana wapo on top lkn uwezi kudharau mchango wa mashabiki zao ambao wapo wengi Sana wanaowasapoti wasanii wengine wanashindwa sometimes cos wanamashabiki wachache mfano rich mavoko wa wcb ngoma zake zilikuwa Zina hit sana lkn Sasa hiv hazifanyi vizuri unajua sababu gani? Jibu unalo ebu mwangalie barnaba ana kipaji kizuri lakini ajawahi kuwa top sababu gani? jibu unalo mwingine Belle 9 nae tatizo lilelile.kingine ninakiona binafsi pia wanajua kujibrand kuliko wasanii wengine Kuna vitu vingi Sana vinavyowafanya wcb wawe juu.
Kuna wasanii wanafanya muziki ili wawe maarufu na wengine wanafanya muziki ili wapate pesa. Ukifanya muziki ili upate pesa utaumiza kichwa ufanye nini ili utoboe kwenye muziki ili upate pesa mpaka za kutoka nje. Ndiyo hapo utatumia njia mbali mbali ili uweze kuutangaza muziki wako.
*Unaona Diamond kawashilikisha wasanii mbali mbali kutoka nje ya nchi kama Rick ross, Neyo, Davido na wengine
*Kaanzisha TV na Radio
*Kaanzisha show mbali mbali wanaenda mpaka nje ya nchi kufanya show
*Anatengeza urafiki na wasanii wa nje ili apate maarifa zaidi kuhusu muziki
Huyo Belle 9 na Barnaba wakitoa kinyimbo kimoja wanataka wasikike mpaka nje. Watasubiri sana kwasababu kuvuma kimataifa kunahitaji juhudi binafsi. HICHO NDICHO KILICHOUA BONGO MOVIE. KANUMBA ANAPIGANA HUKU NA HUKU ANAENDA MPAKA NIGERIA KUIGIZA LAKINI KUNA WASANII WAPO WAMEKAA TU WANASUBIRI KANUMBA ATOE MOVIE WASHIRIKISHWE, ALIPOKUFA AKAWA AMEENDA NA BONGO MOVIE YAKE. DIAMOND ANAPIGANA KAMA KANUMBA ALIVYOKUWA ANAFIGHT. SI ULIMUONA DUDUBAYA, NAYE ALIKUWA ANAJISHUGHULIKA NAYE? LAKINI ALIPOENDA WCB, AKAPEWA RAYVANY AKATOKA NA NGOMA YA KONKI. WCB WANAJUA KUWASHIKA WATU KIMUZIKI
 
joseph1989

joseph1989

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Messages
3,156
Points
2,000
joseph1989

joseph1989

JF-Expert Member
Joined May 4, 2014
3,156 2,000
Umejuaje hizo nyumba ni za diamond
Mbona ushajijibu mwenyewe tena,umetumia neno NAAMINI au hujui unachokiamini.
Diamond nyumba zake zote naamini toka amepanga pale sinza akaanza kujenga madale na hiyo alionunua SA naamini sana maana alikua kijana mwenye vision na mission ila uongozi wake wa sasa umewafunga wenzake wasiwe na hayo mafanikio
Wewe umesema kawafunga wasanii wake nikakuuliza "kawafungaje na umejuaje?"
 
Johnny Impact

Johnny Impact

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
1,880
Points
2,000
Johnny Impact

Johnny Impact

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
1,880 2,000
Jiheshimu kidogo kaka mkubwa maana ya kuimba au kufanya kazi ni mafanikio kama unatumia akili sio FAME ukisema kazi yako wcb ni kutoa nyimbo nzuri ila kipato wanafaidi diamond managers pamoja na kampuni hata familia itakushangaa ndio maana wanapoozwa kwa kupangiwa nyumba ili usipate kuhoji lini utakua na maamuzi ya hela zako ujenge nyumba yako mwenyewe
Tatizo unatumia hisia na chuki ndiyo maana tunashindwa kuelewana. Unaonekana unachuki binafsi siyo bure. Mnabidi mjipange sana na kina B12 kumuangusha Diamond. Kuwa na nyumba au kutokuwa hiyo wala haikuhusu. Kama wananyonywa si waondoke? Rich Mavoko mbona kaondoka kwani walimng'ang'ania?
Unalalamika kama unafanya kazi WCB
*Mbona Magufuli kafuta ajira? (Walimu na madaktari wapo kitaani hakuna ajira. Magu pesa zote kaenda kununulia ndege). Mbona haujalalamika? unalalamika kwa watu ambao wanafanya muziki kupitia nyimbo zao na wapo huru kuhama muda wowote. Wenyewe waache kulalamika uje ulalamike wewe. WHO ARE YOU?
*Mbona Magufuli hajaongeza nyongeza ya mshahara na haujalalamika?
*Kuna watu wamepigwa risasi na kupotea mpaka leo hawajulikani walipo na hakuna kesi zao polisi wala mahakamani. Haujaona hilo?
WAACHE KULALAMIKA RAYVAN, HARMONIZE NA LAVALAVA. WEWE NDIYO ULALAMIKE? TETEMA KAMA UPIGWA SHOT, TETEMA KAMA UPIGWA ROBA.
Kiufupi UNACHUKI BINAFSI NA SI LOLOTE
 
Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,475
Top