Ukitaka kupima umakini wa mtu kwenye mambo mengine angalia anavyoegesha gari

Mtu asiye makini ni kama mleta mada anayefanya kila kitu kwa ujumla wakati watu ni tofauti. Mimi nasema huyo aliyepaki gari ni learner na ndio kwanza kaendesha hilo gari aina hiyo hajawahi liendesha.

Ukizoea Renault Kwid kisha ukapewa daladala uipaki huwezi fanya vema kama dereva wa daladala
Huyo jamaa sio learner I know him ni mtu mmoja rough rough sana hata uendeshaji wake na ufanyaji kazi wake...niamini, mambo madogo kama hilo la kuegesha gari vizuri linaweza kukutafsiri wewe ni mtu wa aina gani.Makini au mtumtu tu
 
Back
Top Bottom