Ukitaka kuniteka nipe Mwanamke mwenye sifa hizi.

Liverpool

Member
Dec 8, 2010
29
0
1-Awe mzuri wa sura
2-Mwelewa
3-Umbo No8
4-Awe mweupe kiasi
Sasa hapo kwenye umbo ngoja nipakazie kidogo kuna wanawake flani wana kua wameumbika bwana unakuta chuchu mwiba,ukishuka maeneo ya kiuno c kikubwa sana but akivaa nguo iliyomshika anaonekana vyema,hips kidogo,awe na vinyweleo vingi tena akiwa na gardenlove ndo kanimaliza kabisa.
 
Only one man in a thousand is a leader of men -- the other 999 follow women.
 
Unaweza kuumba wa kwako ukamtengeneza utakavyo, otherwize forget all those wishful thinking. There are things that are only found in the novels and fantasy land n in reality they dont exist. All the best in finding one tho.
 
inategemea na age yako...

kuna umri ukifika umuhimu wa mtu
unategemeana zaidi na inside ya mtu alivyo kuliko outside
afterall kuna kuzeeka,achilia mbali ajali na magonjwa....

umewahi jiuliza why kuna watu wanaoa walemavu???????????
 
Kumbuka mungu hakupi vyote na wewe pia utakuwa na matatizo ,mapenzi bwana ni kitu tofauti unaweza mpenda mtu ,macho tu au midomo pekee ,au vile anavyotembea ,akicheka, akiwa anaongea nk nk mie wangu nilimpendea rangi nyeusi ya kiafrica:pray2:
 
akipata ajali ya kuungua na ngozi ikaharibika unamuacha sio???????????
 
Kumbuka mungu hakupi vyote na wewe pia utakuwa na matatizo ,mapenzi bwana ni kitu tofauti unaweza mpenda mtu ,macho tu au midomo pekee ,au vile anavyotembea ,akicheka, akiwa anaongea nk nk mie wangu nilimpendea rangi nyeusi ya kiafrica:pray2:

well said mama wa kwanza huyu bado ana utoto
 
1-Awe mzuri wa sura
2-Mwelewa
3-Umbo No8
4-Awe mweupe kiasi
Sasa hapo kwenye umbo ngoja nipakazie kidogo kuna wanawake flani wana kua wameumbika bwana unakuta chuchu mwiba,ukishuka maeneo ya kiuno c kikubwa sana but akivaa nguo iliyomshika anaonekana vyema,hips kidogo,awe na vinyweleo vingi tena akiwa na gardenlove ndo kanimaliza kabisa.
Kamuuumbe wa kwako mwenyewe umpe mambo yote hayo unayoyataka,,,,vipi bwana unataka kuwa na mtu mkamilifu,,,suppose umempata leo ana vyote hivyo kesho akapata ajali!!!!!! Tafakari
 
Unaweza kuumba wa kwako ukamtengeneza utakavyo, otherwize forget all those wishful thinking. There are things that are only found in the novels and fantasy land n in reality they dont exist. All the best in finding one tho.

nathani wewe utakuwa above au under 18 :teeth::teeth::teeth::teeth: yani unapoint za kiukweli ki ukubwa na akili yako imesimama i mean in bioloy tunasema akili yako ime erect
 
1-Awe mzuri wa sura
2-Mwelewa
3-Umbo No8
4-Awe mweupe kiasi
Sasa hapo kwenye umbo ngoja nipakazie kidogo kuna wanawake flani wana kua wameumbika bwana unakuta chuchu mwiba,ukishuka maeneo ya kiuno c kikubwa sana but akivaa nguo iliyomshika anaonekana vyema,hips kidogo,awe na vinyweleo vingi tena akiwa na gardenlove ndo kanimaliza kabisa.

Hutampata milele, kwani wewe umekamilika kiasi gani!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom