Ukitaka kujua thamani ya muda, safiri Km 40 ndani ya lisaa limoja, halafu jaribu kusafiri Km 40 ndani ya 1/3 ya lisaa

Kwa faida ya macho yangu ngoja nihamie kwenye pc kisha nichangie kwa kufuatana na kiwango changu cha elimu.ila kabla sijaja tafadhali consider these:acceleration,constant speed,power,time.narudi
Constant in both the fast and slow speeds.
 
Nimerudi,na moja kwa moja naingia kwenye mada.naassume kila mtu humu anajua misingi ya mwendo kwa kufuata kanuni za newton(newton's laws of motions).mada yetu inahusika zaidi na newtons second law(the acceleration of a body depends upon two variables,a force acting on a body and the mass(weight)of the body
Sasa consider katika hoja yako gari ni hilo hilo,mfano toyota brevis inatoka dar kwenda msata,assume umbali kati ya dar hadi msata ni km 40,siku ya kwanza,dereva alitumia saa 1 kufika msata,means gari ilitembea kwa speed ya 40km/hr.assume kwamba kutoka speed 0km/hr hadi 40km/hr alitumia sekunde 10,acceleration ya gari au rate ya badiliko la speed la gari(hii hubadilika kutokana na jinsi unavyokanyaga mafuta,ndiyo maana ikaitwa accelerator) ni {(40-0)*1000}/{3600*10}=1.11m/s^2.siku ya pili dereva huyo huyo alichukua gari hiyo hiyo akapita njia hiyo hiyo kwenda msata(assume pia factor zingine zipo constant),akatumia dakika 20,hivyo aliendesha kwa speed ya 120km/hr na kutoka speed ya 0km/hr hadi 120km/hr alitumia sekunde zile zile 10(hapa dereva alikanyaga sana mafuta)means acceleration yake sasa ikawa ni {(120-0)*1000}/{3600*10}=3.33m/s^2.
kiuhalisia siku ya kwanza dereva alitumia mafuta kidogo kufikia constant speed ya 40km/hr kwa sekunde 10 baada ya hapo gari ikawa inaunguza mafuta kwa constant rating ya gari kufuatana na mzunguko wa engine na gear ratio(assume katika speed 40km/hr engine revolution ni 1500rpm na gear ni namba 3,engine itakuwa inatumia nguvu yake kubwa kuzungusha gear kubwa ili kuovercome weight ya gari na opposing forces za kwenye gari ili kubalance speed ndogo,kitu ambacho ni waste.
katika case ya siku ya pili,dereva alitumia mafuta mengi kwa sekunde chache kufikia spidi ya 120km/hr na baada ya hapo katika speed kubwa gear inayoengage ni ndogo namba 5 kwenda mbele hivyo kwa revolution ile ile ya 1500rpm engine inatumia nguvu ndogo kuzungusha gia ndogo kubalance speed kubwa!

na hapa ndiyo maana katika specifications za ulaji wa mafuta hutolewa mara mbili kwa town trips na kwa highway,kwa highway consumption huwa ndogo kwa sababu nilizoeleza hapo juu na kwa town trip consumption huwa kubwa kwa factosr nilizotaja hapo juu na foleni,kuaccelerate mara kwa mara huchangia ongezeko la ulaji wa mafuta

CONCLUSION
thamani ya muda hupimwa kwa uwiano wa;muda mchache kwa shughuli unayocover kwa muda huo.dereva wetu hapo juu thamani ya muda kwake ilikuwa kubwa siku ya pili alipotumia muda mchache kusafiri kilometa nyingi
(next time nitakuja na faida na hasara za gari zenye cylinder nyingi kwa faida na hasara za gari zenye cylinder chache,)
thank you FRANCIS DA DON
Ufafanuzi mzuri, lakini mimi nimetoa tu mfano kuonyesha kwamba faster speeds consume more fuel covering the same distance kwa muda mfupi. Na nikasema kama mafuta yalioongozeka (Just assuming) kutumika katika faster speeds ni lita 10, je thamani ya muda uliookolewa in that particular case (varies from case to case as you explained) itakuwa ni kiasi gani per minute? The answer is plain simple; kama kwa kuokoa dakika 40 (60 - 20 = 40) inakugharimu lita 10 za mafuta, maana yake ni kwamba dakika 1 inakugharimu ni (10/40) liters ambayo ni 0.25 liters (robo lita). Sasa liter moja kwa sasa ni shs. 2,280/= nadhani, hivyo kwa robo lita itakuwa (2,280/= × 0.25) ambayo unapata shs 570/= per minute.Hilo ndio jibu.

JIBU NI: SHS 570/= PER MINUTE
 
Kama gari ina gear tano , ya kwanza na ya tano ni ipi inatumia mafuta mengi zaidi ? Kwa mwendo wa km 10 kama ni daladala nani atafanya safari nyingi zaidi wa no 1 au no 5?
Wa gear no 5. Ndo atapiga route nyingi coz accrl yake ni kubwa ivyo engine y.inatumia nguvu kidogo kuzungusha iyo gear no 5 at the same time iyo gear no 5 tano inazarisha speed kubwa rpm yake itakuwa kubwa ivyo atawahi kufika aendako na kurudi kitu kitakachompa nafasi ya kufanya route nyingi kwa advantage ya kuwa na muda wa kutosha,

wa gear no1atamaliza mafuta mapema coz accrl yake ni ndogo ivyo engine inatumia nguvu kubwa kuzungusha iyo gear no 1at the same time iyo gear no 1 inazarisha speed ndogo sana means rpm ya engine itakuwa ndogo ivyo itamcost muda mrefu sana kufika aendako ivyo kumfanya kwanza achome mafuta mengi pili awe na shortage ya muda
 
Assuming inawekwa gear sahihi kwa RPM sahihi be it manual / auto, na kila kitu ni constant in both cases
 
USHAURI: Francis, naamini miongoni mwa faida za JF ni kuelimishana. Kwenye andiko lako kuna neno lenye ukakasi, na bila shaka tukiliacha liendelee, wengi watalitumia na kuiharibu lugha yetu. Kiswahili hakina neno "lisaa" wala "masaa". Badala yake kuna saa -hata kama ni moja au 20 -tuna "saa" tu. Nakuomba sana hili neno "lisaa" ulikwepe maana linaleta ukakasi kwenye lugha hii adhimu na ya kupigiwa mfano duniani.
Hivi nyie ambao huwa mnakerwa na ukoseaji wa maneno ya Kiswahili,huwa mnakua ni watu wa BAKITA au?
Ni wengi hukosea namimi pamoja na baadhi yetu hubaini hayo makosa,lakini huwa sioni haja yakukosoa.
 
Provided kila kitu kina baki constant, kwa gari hiyo hiyo, lazima mafuta utakayotumia kucover the same distance at a shorter period of time (faster) lazima yatakuwa mengi zaidi, this is a fact! Time is just as much a physical factor as Length and mass.

Mkuu kumbuka kuna issue za momentum ambayo direct propotional na mass na speed. Ambayo inaenda kuathiri kani inayotumika kusuma gari.

Kama unaendesha chombo kama gari, ukafika seheme yenye mteremko mkali na kufuatia na mlima mkali. Ukishuka kwa speed kubwa gari litapanda mlima kwa speed bila kutumia mafuta mengi kutokana na momentam iliyo kuwa nayo tofauti yake ukishuka polepole utahitaji nguvu kubwa kupanda mlima hence more fuel.

Hivyo basi speed siyo moda wote itamaanisha kula mafuta.
 
Assuming the road is completely plane and level.
 
Assuming the road is completely plane and level.
if the road is complete plane and level wa geat tano ata consume mafuta kidogo na atapiga route nyingi due to, momentam, mass, speed, object accrl, rpm ya object ivi vyote vita mfavour uyu wa gear no 5 coz mpaka gari inafika kwenye level ya kuingage gear no5 means litakuwa tayari limeshika momentam kubwa na ivyo pia ikumbukwe gear no 5 is the light gear ambayo inaruhusu gari kuwa nyepesi zaidi na ivyo kuitaji nguvu kidogo ili liweze kwenda mbele apa ata mafuta hanakuwa yanaenda kidogo due high rpm pia distance covered per time itakuwa ni kubwa sana wakati uyu wa gear no 1 izo factor zote apo juu havimbebi coz gar ikiwa iko gear no 1 linakuwa zito , soedd inakuwa ndogo rpm inakuwa iko at low momentum inakuwa ni ndogo sana ivyo kupelekea engine kuhitaji nguvu kubwa sana ili kusukuma ama kwenda mbele na ivyo ulaji wa mafuta ni mkubwa distance covered per time ni ndogo so mtu uyu atahitaji muda mwingi sana kufika kwenye finish line yake!
 
Assume the correct gear is engaged for the perfect RPM to achieve the desired speed ( assume maximum efficiency in gear - RPM selection), and constant efficiency in both cases. Meaning, hutaweka gia namba moja while RPM zinahitaji gia namba 2 ili kufikia na kumaintain desired speed
 
mimi ni fundi na dereva ukweli ukiendesha gari speed kubwa mafuta yatatumika mengi na ukiendesha kwa speed ndogo mafuta yatatumika kidogo.
 
Kama factor zote zikiwa constant mfano hata mpangilio wa gear gari Ikiwa katika mwendo kiwango cha mafuta kitabaki kuwa kile kile
 
Kweli aisee, ukiona hujaelewa bandiko basi jua hujaandikiwa wewe. Nimejitahidi kusoma hayo ma newton law lakin naona buluu tu. Asante lakin mleta uzi, eeeeeeh!
 
Back
Top Bottom