Ukitaka kujua kuwa mpenzi wako ana sifa ya kuitwa mke/mume,fanya yafuatayo

Je kama nimempa hicho kitita kilichokonda akamtumia jamaa yake wa kando, nimpige chini au nimpige na Mawe nauliza?
 
Mwanamke unamgharamikia kila kitu,unaamua kumuoa yeye, out of millions of ladies, siku ya harusi anakuvalisha saa au kiatu cha elfu 70, ivi huwa mko serious kweli! Kwani mi sina uwezo wa kununua!

Afu sijui nani mwalimu wenu!
 
Anaongelea maisha ya uswazi. Hiyo 50K ukiingia nayo sagurasagura unarudi home na begi limejaa.

Ukienda nayo clothing store yakueleweka ningumu kupata clothing items zaidi ya mbili.
Umenikumbusha kuna uzi huku watu wanaelezea namna walinunua vitu baadae wakajuta.
Kuna mmoja alisema alinunua Tshirts tatu kwa mama anayetembeza. Basi bei ilikuwa cheap compared na vile hizo Tshirts zilikuwa zinaonekana, akajua amewin.

Basi kufika nyumbani kigiza giza akazifua, asubuhi anaamka haoni Tshirts zake. Kumbe Tshirts zake zipo lakini zilibadilika rangi baada ya kufuliwa zikawa rangi nyingine tofauti kabisa.

Ndio matokeo ya kwenye kusagura
 
Kwa hiyo mkuu,huwa unatumia zote bila kurudisha fadhila kwa aliyekupatia?
Kuongelea kuhusu mimi ni hivi, nimeshasahau hata ni lini mara ya mwisho nimenunua kitu changu. Huwa ananinunulia yeye kwa hela yake na mimi namnunulia kwa hela yangu.
Hii ndio kanuni yetu.
 
Umenikumbusha kuna uzi huku watu wanaelezea namna walinunua vitu baadae wakajuta.
Kuna mmoja alisema alinunua Tshirts tatu kwa mama anayetembeza. Basi bei ilikuwa cheap compared na vile hizo Tshirts zilikuwa zinaonekana, akajua amewin.

Basi kufika nyumbani kigiza giza akazifua, asubuhi anaamka haoni Tshirts zake. Kumbe Tshirts zake zipo lakini zilibadilika rangi baada ya kufuliwa zikawa rangi nyingine tofauti kabisa.

Ndio matokeo ya kwenye kusagura
Hahaha dah. Bora hata hizo zimebadilika rangi nyingine ukifua tu zinagauka kuwa kanzu.
 
Mapenzi hayajengwi kwa hii empirical study bali ni unconditional love tu.

Bahati mbaya sana elimu ya mahusiano haifundishwi mashuleni bali ni nyumbani na mtaani tunakoishi.
Ukitaka kujua kuwa mpenzi wako ana sifa ya kuitwa mke/mume,fanya yafuatayo; Kama ulikuwa na wapenzi wengi mfano watano (5),chukua pesa kidogo labda 250,000,na kila mmoja mpatie 50,000 akaifanyie matumizi anayotaka.Baada ya hapo kila mmoja akupe mrejesho kwa ile fedha ameifanyia nini. Ikiwa watakupa mrejesho kama ufuatao....chukua hizi hatua:-
  • Ametumia fedha yote kujiremba/matumizi yake binafsi.......piga chini
  • Amesaidia ndugu zake/marafiki zake................piga chini
  • Ametoa sadaka au kawapa watu wenye uhitaji................jaribu kumfikiria tena
  • Ametumia kwenye pombe na fedha kuisha.............piga chini
  • Ametumia kwenye mahitaji yake kiasi na nyingine akatumia kwenye mahitaji yako. mfano labda akakuletea shati,suruali n.k..................huyo weka ndani/oa (hana ubinafsi yuko tayari muwe mwili mmoja).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie naenda kusuka hela yote na inaweza kupelea nikakuomba uniongezee, nakuomba na ya wine na baadae nakuambia njoo unipeleke home au nitumie tena hela ya usafiri, yaani ndo utaniacha siku hiyohiyo ukinitega, yaani unipe hela kiduchu hivyo halafu utegemee mrejesho wa matumizi, khaaa, nitafanya kwa mume wangu tu, hata hivyo hela ya kuhongwa siwezi toa sadaka wala kumsaidia mhitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Hufai kuwekwa ndani, Zero kabisa
 
Back
Top Bottom