Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

Lakini hamna nikweli,kwa sababu walisewa 14/8.Wangetoa majina ya watu waliokosa vyuo au watawajulisha kwny akaunt zao kumbe ndo hivi wametujulisha
 
Lakini hamna nikweli,kwa sababu walisewa 14/8.Wangetoa majina ya watu waliokosa vyuo au watawajulisha kwny akaunt zao kumbe ndo hivi wametujulisha

hako ka ujumbe ndo tayar wameshatoa majina ya waliokosa na waliopata usikae ukingoja majina yatoke jumla,ndo maana ya kila m2 kuwa na account yake.
 
So kama ndo hvyo kwa walio kuwa admitted si ndo waambiwe kuwa umechaguliwa chuo gan? mbona hvyo jamani
 
HELSB:Kila siku mnatoa majina bila taarifa vp? kwa wa2 waliopo vijijini hamna internet wala nn? sio fear kwa wanachfnya
 
hako ka ujumbe ndo tayar wameshatoa majina ya waliokosa na waliopata usikae ukingoja majina yatoke jumla,ndo maana ya kila m2 kuwa na account yake.
true bt mwaka jana watu walifanyiwa mchezo mchafu waliwekewa hivyo but udsm walirudisha majina yao so wakatakiwa kufanya 2nd and 3rd round of application. so not 100% uhakika
 
hawa ndo wale walioingia jf baada ya kuambiwa matokeo ya ud yapo huku. Adhari zake ndo hizi

Hawa jamaa wameshaanza kuiharibu jf esp. jukwaa la elimu mara waapost vitu ambayo tayari vilikuepo,mara watujazie vitu visivyo na maana mi naamini kama ulifanya vizuri mtihani wako basi ni budi upangiwe chuo pia TCU muda wa kutoa ukifika watatoa na bodi ya mikopo nao vilevile wengine wana hamu ya kujua yakitoka hayo matokeo NIL unaanza kulia...lets be conscious great thinkers
 
Leo kuna watu wamenipigia simu kutoka katika vyuo nilivyochagua wanasema nimechaguliwa kujiunga na hicho chuo is it posible wakuu?
 
Brothers now nilikua nacheck matokeo yetu ya semester ya pili katika website yachuo Tumaini Univ, Iringa then nikakuta wameweka majina ya t.c.u applicants ambao wamekua admitted pale so kama umechagua pale wait for 5mins. ni ya convert ntayatupia hapa PIA ILETETESI YA KWAMBA UKIWA ADMITTED KATIKA ACCOUNT YAKO INA MAANA KWELI UMECHAGULIWA KTK CHUO KIMOJA KATI YA ULIVYOOMBA ONDOENI SHAKA WADAU THEN KARIBUNI HUKU TU FANYE REVOLUTION YA NCHI YETU A S 465
 
Leo kuna watu wamenipigia simu kutoka katika vyuo nilivyochagua wanasema nimechaguliwa kujiunga na hicho chuo is it posible wakuu?
Listen brother inaweza ikawa kweli sababu sasa hivi nimepost majina ya walochaguliwa Tumaini University Iringa SO Specify chuo gani umetupwa maybe kama na data nitakuambia
 
Back
Top Bottom