Kutokana mabishano Mengi juu ya uwezo Wa serikali ya awamu ya tano kuchapa kazi!!!!
Usipumbazwe na mapichapicha na matukio mitandaoni!!
Njia rahisi ya kujua kama serikali hii ni ya wanyonge!!!
Usipumbazwe na mapichapicha na matukio mitandaoni!!
Njia rahisi ya kujua kama serikali hii ni ya wanyonge!!!
- Nenda ofisi yoyote ya Umma kaombe huduma ndo utajua ukweli au ni uongo
- Uguza mgonjwa katika hospitali yoyote ya serikali ndipo utaelewa vizuri
- Wasikilize Viongozi na wasaidizi Wa serikali wakiwa ON MIC na OFF MIC ndipo utaelewa ukweli!