Kila siku wapembe wa CHADOMO wanamkejeli ndg.NAPE Nauye kwa kazi yake nzuri ndani ya CHAMA kana kwamba anapokemea ufisadi ndani ya vyama vyote kwa sera za UZALENDO KWANZA basi wakereketwa wa CHADEMA wanatetemeka na kumshambulia kila kona,je CHADEMA sera yake ni ipi?..au ndio kuvaa gwanda inatosha na kibwagizo cha pipoz power??
Hakika CHADEMA ni wanafaki ambao wanatakiwa waingie kwenye record za GUINESS hasa pale baada ya Chairman wao kukili mbele ya wanaHAI kuwa Rais JK ni mchapa kazi hodari,mke wa SLAA naye alimpongeza RAIS kwa moyo wa dhati juu ya ujenzi wa barabara jimboni kwake..Je,ni kweli wanaCHADEMA wanapenda mafanikio ya nchi hii yaendelezwe kiustaarabu?
Rai yangu kwenu,achene SIASA za kihuni kama genge la wavuta bangi,unazomea ili upate nini? kama una swali unashindwa nini kuuliza?
Kuna siku mtaiga hadi mambo ya kijinga...mwisho wakemtaendelea kuwa vibaka huku wazalendo wakisonga mbele !
Vita ya UFISADI na wala RUSHWA si ya CCM pekee yake,watanzania wote tunawajibika kwa mapambano hayo.