Ukitaka kujua CHADEMA inamuogopa Mr.NAPE NAUYE na MWIGULU NCHEMBA soma HAPA !

greenstar

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
390
53
Kila siku wapembe wa CHADOMO wanamkejeli ndg.NAPE Nauye kwa kazi yake nzuri ndani ya CHAMA kana kwamba anapokemea ufisadi ndani ya vyama vyote kwa sera za UZALENDO KWANZA basi wakereketwa wa CHADEMA wanatetemeka na kumshambulia kila kona,je CHADEMA sera yake ni ipi?..au ndio kuvaa gwanda inatosha na kibwagizo cha pipoz power??

Hakika CHADEMA ni wanafaki ambao wanatakiwa waingie kwenye record za GUINESS hasa pale baada ya Chairman wao kukili mbele ya wanaHAI kuwa Rais JK ni mchapa kazi hodari,mke wa SLAA naye alimpongeza RAIS kwa moyo wa dhati juu ya ujenzi wa barabara jimboni kwake..Je,ni kweli wanaCHADEMA wanapenda mafanikio ya nchi hii yaendelezwe kiustaarabu?
Rai yangu kwenu,achene SIASA za kihuni kama genge la wavuta bangi,unazomea ili upate nini? kama una swali unashindwa nini kuuliza?

Kuna siku mtaiga hadi mambo ya kijinga...mwisho wakemtaendelea kuwa vibaka huku wazalendo wakisonga mbele !
Vita ya UFISADI na wala RUSHWA si ya CCM pekee yake,watanzania wote tunawajibika kwa mapambano hayo.
 
Sidhani kama unajua ulicho kiandika kabisa! Title inasema Nape na Mwiingulu alaf habari ni rais na cdm chairman sasa tukusaidie nini kama wewe umeshindwa kujisaidia? Tujadili nini kati ya title na habari?

Sidhani kama kweli wewe unaweza kulipwa kwa hichi ulicho kiandika.

bado unakunywa kiroba?
 
Kachukue posho kwa nape, mwigulu alifumaniwa Igunga sasa chadema imuogope kwa lipi? Nape kaingia ccm kwa mgongo wa baba kapita toa upuuzi
 
Umejichanganya man. Elimu duni. Angalia uzi wako then jikosoe mwenyewe kuwa uliyoyaandiki ni utumbo! Nenda shule man!
 
Kachukue posho kwa nape, mwigulu alifumaniwa Igunga sasa chadema imuogope kwa lipi? Nape kaingia ccm kwa mgongo wa baba kapita toa upuuzi
jenga hoja,kufumaniwa inauhusiano gani hapa?...unaishi kwa umbeya badala ya kuchapa kazi?...hujasikia mke wako anatoka na jirani yako?
 
Tatizo ni Viroba na ndumu walio akili timamu hawazomei anguko kuu linakuja 2015 kila mtu anataka mgao watajibeba na magwanda yao
 
Kila siku wapembe wa CHADOMO wanamkejeli ndg.NAPE Nauye kwa kazi yake nzuri ndani ya CHAMA kana kwamba anapokemea ufisadi ndani ya vyama vyote kwa sera za UZALENDO KWANZA basi wakereketwa wa CHADEMA wanatetemeka na kumshambulia kila kona,je CHADEMA sera yake ni ipi?..au ndio kuvaa gwanda inatosha na kibwagizo cha pipoz power??

Hakika CHADEMA ni wanafaki ambao wanatakiwa waingie kwenye record za GUINESS hasa pale baada ya Chairman wao kukili mbele ya wanaHAI kuwa Rais JK ni mchapa kazi hodari,mke wa SLAA naye alimpongeza RAIS kwa moyo wa dhati juu ya ujenzi wa barabara jimboni kwake..Je,ni kweli wanaCHADEMA wanapenda mafanikio ya nchi hii yaendelezwe kiustaarabu?
Rai yangu kwenu,achene SIASA za kihuni kama genge la wavuta bangi,unazomea ili upate nini? kama una swali unashindwa nini kuuliza?

Kuna siku mtaiga hadi mambo ya kijinga...mwisho wakemtaendelea kuwa vibaka huku wazalendo wakisonga mbele !
Vita ya UFISADI na wala RUSHWA si ya CCM pekee yake,watanzania wote tunawajibika kwa mapambano hayo.

Pamoja na heading kujichanganya siyo mbaya mkuu maana umewakilisha mawazo yako.

1. Swali la kwanza kuomba tu msaada wa ufafanuzi kwenye red zote hapo juu, unatofautishaje kejeli na matusi kwa maneno hayo? na unamaanisha nini

2. Uzalendo wa nape ni kutangaza ufisadi ?au propaganda za chama chake baada ya kushindwa kuchukuwa hatua, tushangile matangazo bila kuchukuliwa hatua?

3. Kama kukejeli ni uzalendo utakubaliana na mimi Dr slaa atakuwa mzalendo zaidi ya nape kwanini tafakali....
 
Kila siku wapembe wa CHADOMO wanamkejeli ndg.NAPE Nauye kwa kazi yake nzuri ndani ya CHAMA kana kwamba anapokemea ufisadi ndani ya vyama vyote kwa sera za UZALENDO KWANZA basi wakereketwa wa CHADEMA wanatetemeka na kumshambulia kila kona,je CHADEMA sera yake ni ipi?..au ndio kuvaa gwanda inatosha na kibwagizo cha pipoz power??

Hakika CHADEMA ni wanafaki ambao wanatakiwa waingie kwenye record za GUINESS hasa pale baada ya Chairman wao kukili mbele ya wanaHAI kuwa Rais JK ni mchapa kazi hodari,mke wa SLAA naye alimpongeza RAIS kwa moyo wa dhati juu ya ujenzi wa barabara jimboni kwake..Je,ni kweli wanaCHADEMA wanapenda mafanikio ya nchi hii yaendelezwe kiustaarabu?
Rai yangu kwenu,achene SIASA za kihuni kama genge la wavuta bangi,unazomea ili upate nini? kama una swali unashindwa nini kuuliza?

Kuna siku mtaiga hadi mambo ya kijinga...mwisho wakemtaendelea kuwa vibaka huku wazalendo wakisonga mbele !
Vita ya UFISADI na wala RUSHWA si ya CCM pekee yake,watanzania wote tunawajibika kwa mapambano hayo.

naona mke wa nape umejongea jamvini, mwambie aje mwenyewe ajitetee
 
nakujua! ***** mtupu.....
Kila siku wapembe wa
CHADOMO wanamkejeli ndg.NAPE Nauye kwa kazi yake nzuri ndani ya CHAMA
kana kwamba anapokemea ufisadi ndani ya vyama vyote kwa sera za UZALENDO
KWANZA basi wakereketwa wa CHADEMA wanatetemeka na kumshambulia kila
kona,je CHADEMA sera yake ni ipi?..au ndio kuvaa gwanda inatosha na
kibwagizo cha pipoz power??

Hakika CHADEMA ni wanafaki ambao wanatakiwa waingie kwenye record za
GUINESS hasa pale baada ya Chairman wao kukili mbele ya wanaHAI kuwa
Rais JK ni mchapa kazi hodari,mke wa SLAA naye alimpongeza RAIS kwa moyo
wa dhati juu ya ujenzi wa barabara jimboni kwake..Je,ni kweli
wanaCHADEMA wanapenda mafanikio ya nchi hii yaendelezwe kiustaarabu?
Rai yangu kwenu,achene SIASA za kihuni kama genge la wavuta
bangi,unazomea ili upate nini? kama una swali unashindwa nini kuuliza?

Kuna siku mtaiga hadi mambo ya kijinga...mwisho wakemtaendelea kuwa
vibaka huku wazalendo wakisonga mbele !
Vita ya UFISADI na wala RUSHWA si ya CCM pekee yake,watanzania wote
tunawajibika kwa mapambano hayo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom