ukitaka kujifunza u daktari kwa vitendo njoo tz. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ukitaka kujifunza u daktari kwa vitendo njoo tz.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Jun 3, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  jamani hili wimbi la vituo bubu vya afya nchini na madaktari wasio na sifa,inakuwaje? Kweli hii nchi ni shamba la bibi,na ni kweli wahusika hawajui?au ndio kutuzuga.na mbona wengi ni wale jamaa kutoka mashariki ya mbali?na wanapokamatwa wanakuwa wakali kweli juu ya wale maafisa wa afya,au kuna watu wanawakingia kifua.
   
Loading...