Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,638
Katika makosa makubwa unaweza kufanya kama binadamu ni kuomba ushauli wa kibiashara unayotaka kuifanya toka kwa watu wana kufahamu iwee ndugu au marafiki wa karibu
Never and ever usije ukajaribu kuomba ushauli kuwambia wazo lako la biashara kwani huwa na majibu ya kukuvunja moyo kama yafuatayo
1. Hiyo biashara hailipi kabisa utapoteza hela yako bure
2. Wengine ivi kusoma kote unataka kufanya biashara hii
3. Wengine watakwambia hiyo hela ni bora unywe bia huko unaenda kuipotezaa
4. Wengine watakwambia hiyo biashara bora uachane nayo siku hizi haina wateja
5. Wengine watakwambia hiyo biashara siku hizi mbona imeshapitwa na wakati
Kama una la kuongezea tupia Neno ulilowahi kuvunjwa moyo