Greater thinker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 286
- 38
Kuna mtoto mmoja hv alichelewa kuongea had anafka miaka 8 hakuwah kuongea..cku moja hv akiwa na miaka 8 na miezi kama 7 ivi akaongea neno moja tu "babu" bac baada ya cku tatu yule babu akafa..cku ny4ngine tena akasema neno "bibi" baada ya cku mbil yule bibi yake akafa.,sasa kuna cku nyngne wakiwa dining rum wanakula akasema neno "baba" aah bac yule baba yake akaacha kula akakimbilia chumban na kuanza kuweweseka na kulialia...bac kesho yake asubuh HOUSE BOY akafarik