Ukitajwa jina lako tu lazima uFe

Greater thinker

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
286
38
Kuna mtoto mmoja hv alichelewa kuongea had anafka miaka 8 hakuwah kuongea..cku moja hv akiwa na miaka 8 na miezi kama 7 ivi akaongea neno moja tu "babu" bac baada ya cku tatu yule babu akafa..cku ny4ngine tena akasema neno "bibi" baada ya cku mbil yule bibi yake akafa.,sasa kuna cku nyngne wakiwa dining rum wanakula akasema neno "baba" aah bac yule baba yake akaacha kula akakimbilia chumban na kuanza kuweweseka na kulialia...bac kesho yake asubuh HOUSE BOY akafarik
 
du hii kali baba inabidi ajiulize wale babu na bibi ni wazaa mama nini maana kataja baba kafa houseboy hii kali
 
kwa mtazamo wangu nadhani yule bibi, babu, walishuhudia houseboy akimfanyia baba mpango wa kando lakini wakanyamazia!
 
Back
Top Bottom