Ukistaajabu ya Professor Lipumba utakutana na Professor Bana

aleesha

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
775
1,117
Ukistaajabu ya Profesa Lipumba ambae ni Alhaji utakutana nayo ya Profesa Bana ambae pia ni Mhadhiri wa siasa wa Chuo Kikuu Dar es Salaam lakini kwa bahati mbaya zaidi hajui historia ya Zanzibar wala haijui vizuri Katiba ya Jamhuri ya Muungano wala Katiba ya Zanzibar.

Jana wakati anahojiwa na kituo cha redio ya Ujerumani DW mada miaka 54 ya Muungano wetu Demokrasia na Haki za Binadamu anasema muungano wetu huu ndio ulioleta mfumo wa vyama vingi kabla ya muungano hakukuwa na mfumo wa vyama vingi amesahau kama Zanzibar.

Siasa za vyama vingi zimeanza toka mwaka 1954 kabla ya Tanganyika haijapata uhuru kulikuwa na ZPP ASP ZNP sijui alikusudia wingi gani huyu Profesa wakati huo Zanzibar hata idadi ya watu laki mbili haijatimia hapo hapo Profesa huyo anasema ikiwa mtu hajaridhika na matokeo ya uchaguzi ya urais anaweza kwenda Mahakamani.

Amesahau kama Katiba zote mbili ya Zanzibar na Muungano zinasema kwamba matokeo yote ya urais hayatohojiwa na Mahakama yeyote ile ya rufaa sijui katiba ipi aliyoisoma Profesa huyu Bana.
 
Ukistaajabu ya profesa lipumba ambae ni alhaji utakutana nayo ya profesa bana ambae pia ni mhadhiri wa siasa wa chuo kikuu daresalam lakini kwa bahati mbaya zaidi hajui historia ya zanzibar wala haijui vizuri katiba ya jamhuri ya muungano wala katiba ya zanzibar
Jana wakati anahojiwa na kituo cha redio ya ujerumani DW mada miaka 54 ya muungano wetu demokrasia na haki za binadamu anasema muungano wetu huu ndio ulioleta mfumo wa vyama vingi kabla ya muungano hakukuwa na mfumo wa vyama vingi amesahau kama zanzibari siasa za vyama vingi zimeanza toka mwaka 1954 kabla ya tanganyika haijapata uhuru kulikuwa na ZPP ASP ZNP sijui alikusudia wingi gani huyu profesa wakati huo zanzibar hata idadi ya watu laki mbili haijatimia hapo hapo profesa huyo anasema ikiwa mtu hajaridhika na matokeo ya uchaguzi ya uraisi anaweza kwenda mahakamani amesahau kama katiba zote mbili ya zanzibar na muungano zinasema kwamba matokeo yote ya uraisi hayatohojiwa na mahakamana yeyote ile ya rufaa sijui katiba ipi aliyoisoma profesa huyu bana
Alilenga kumfurahisha "mungu". Hao ndio maprofesa wetu waliotukuka! Wasomi, wanaowafundisha watoto!
 
Kiukweli kabisa, Upeo wa Profesa Bana ni mdogo sana. Sio sasa tu, hata hapo kabla.
Toka nimemfahamu zaidi ya miaka 15, Profesa Bana hajawahi kubadilika.
Sijui ana tatizo gani?

Yaani hata mtanzania asiyekwenda shule kabisa lakini mfuatiliaji wa mambo kwa karibu anamzidi kwa mbali sana Professa Bana kwenye kuchambua mambo rahisi ya kisiasa.

Sijui huo uprofesa, tena uprofesa kwenye sayansi ya siasa aliupataje?
Siku zote huwa nawashangaaga sana hao waandishi wanaomwendea Profesa Bana ili kufanya mahojiano naye.

Jamaa kichwani hamna chochote. Hajui kuongea Facts, hajui kupambanua, hana critical thinking, hana influencing logics, hana actual critics.
 
Ukistaajabu ya profesa lipumba ambae ni alhaji utakutana nayo ya profesa bana ambae pia ni mhadhiri wa siasa wa chuo kikuu daresalam lakini kwa bahati mbaya zaidi hajui historia ya zanzibar wala haijui vizuri katiba ya jamhuri ya muungano wala katiba ya zanzibar
Jana wakati anahojiwa na kituo cha redio ya ujerumani DW mada miaka 54 ya muungano wetu demokrasia na haki za binadamu anasema muungano wetu huu ndio ulioleta mfumo wa vyama vingi kabla ya muungano hakukuwa na mfumo wa vyama vingi amesahau kama zanzibari siasa za vyama vingi zimeanza toka mwaka 1954 kabla ya tanganyika haijapata uhuru kulikuwa na ZPP ASP ZNP sijui alikusudia wingi gani huyu profesa wakati huo zanzibar hata idadi ya watu laki mbili haijatimia hapo hapo profesa huyo anasema ikiwa mtu hajaridhika na matokeo ya uchaguzi ya uraisi anaweza kwenda mahakamani amesahau kama katiba zote mbili ya zanzibar na muungano zinasema kwamba matokeo yote ya uraisi hayatohojiwa na mahakamana yeyote ile ya rufaa sijui katiba ipi aliyoisoma profesa huyu bana
He has proven to be a mediocre this one...no one should listen to him. Am sorry for his students
 
Toka lini Dr. Bana ameshakuwa Profesa? Kwa merit zipi? UDSM is now a dieying donkey. Kuna yule Profesa wa kujibizana na Maaskofu kwa mabarua utafikiri yeye ni msemaji wa serikali.
 
Sijui huo uprofesa, tena uprofesa kwenye sayansi ya siasa aliupataje?
Siku zote huwa nawashangaaga sana hao waandishi wanaomwendea Profesa Bana ili kufanya mahojiano naye.

Kuna issue tatu, moja huyu bwana nasikia yeye sio mbobezi wa siasa kwani degree zake za masters na PhD ni za Public Administration (Utawala). Pili alipokuwa muu wa Idara ya Siasa na Utawala, magazeti na wengine wakawa wanamfuata kupata maoni yake kuhusu maswala ya siasa nae hakuwa na hiyana na mpaka kesho anaendelea.Tatu ni hatari sana maprofessa wanapotoa maoni hasa wakiwa wana angalia chakula kiko wapi-hapo utashangaa watu wana asi maandiko yao na hata misimamo yao ili tu wafurahishe watu fulani hata kama inabidi wafanye au waseme vitu vya kuumiza watu au nchi. Hapo una Mwakie Embe, Lipu Mbaa, Bansen Burner, etc. Fikiria wazo wa Kiti La yeye anataka vijana wanaodahiliwa vyuo binafsi wasipewe mikopo upendeleo anaosema ni wa haki nikuwa mikopo wapewe wale wanao kwenda vyuo vya serikali na bosi wake Magu wa Fuli tumemsikia akisema vyuo........viache vife watoto waende vyuo vya serikali.
 
Ukistaajabu ya profesa lipumba ambae ni alhaji utakutana nayo ya profesa bana ambae pia ni mhadhiri wa siasa wa chuo kikuu daresalam lakini kwa bahati mbaya zaidi hajui historia ya zanzibar wala haijui vizuri katiba ya jamhuri ya muungano wala katiba ya zanzibar
Jana wakati anahojiwa na kituo cha redio ya ujerumani DW mada miaka 54 ya muungano wetu demokrasia na haki za binadamu anasema muungano wetu huu ndio ulioleta mfumo wa vyama vingi kabla ya muungano hakukuwa na mfumo wa vyama vingi amesahau kama zanzibari siasa za vyama vingi zimeanza toka mwaka 1954 kabla ya tanganyika haijapata uhuru kulikuwa na ZPP ASP ZNP sijui alikusudia wingi gani huyu profesa wakati huo zanzibar hata idadi ya watu laki mbili haijatimia hapo hapo profesa huyo anasema ikiwa mtu hajaridhika na matokeo ya uchaguzi ya uraisi anaweza kwenda mahakamani amesahau kama katiba zote mbili ya zanzibar na muungano zinasema kwamba matokeo yote ya uraisi hayatohojiwa na mahakamana yeyote ile ya rufaa sijui katiba ipi aliyoisoma profesa huyu bana

Hivi huyo ni Profesa toka lini, alikuwa analalamika kuwa hawajalipwa posho ya nyumba kwa muda mrefu sijui alilipwa, huyo Jamaa nadhani hayupo vizuri kichwani
 
Eti Profesa Bana!!! Tehe tehe! Give me a break please!. Huyu ni kiazi Kabisa na bingwa wa kujikomba! . Uprofesa mwingine bwana!.
 
Bana ni zero primitive minded.. Hawa ma Prof wa aina yake hovyo sana sana
 
Wengi walio comment kwenye huu ni upinzani pendwa na mjadiliwa ni mfuasi chama pendwa tawala...
Poleni sana...na nyinyi mjitahidi kuwa maprofesa basi,,,
 
Huyu bwana nilisoma naye pale UD, yeye alijiunga chuoni akiwa mtu mzima. Sijui kama alitokea kazini au mtaani. Alidharaulika na kila mmoja, kwanza kutokana na masomo aliyokuwa akisomea yaani somo la Development Studies (ndiyo lilikuwa major subject yake). Wengine wote somo hilo lilikuwa subsidiary, na kwa ujumla tulilazimishwa kusoma.

Pili tulimdharau sana kutokana na uwezo wake mdogo wa kujenga hoja, na kupenda kuongea sana mambo yasiyokuwa ya maana. Tulimchukulia kama comedian.

Leo na yeye eti ni doctor wa huo upuuzi aliokuwa anasomea kiasi cha kupewa nafasi ya kuchambua masuala ya siasa!
 
Nilimshangaa sana huyu mtu tena mno, huwezi jua kama ni msomi wa kihivyo. ila njaa mbaya sana. Msomi unajitoa ufahamu kiasi kile! Hawa ndio akina pro-pesa pumba. Hongera sana Zitto
 
Ukistaajabu ya Profesa Lipumba ambae ni Alhaji utakutana nayo ya Profesa Bana ambae pia ni Mhadhiri wa siasa wa Chuo Kikuu Dar es Salaam lakini kwa bahati mbaya zaidi hajui historia ya Zanzibar wala haijui vizuri Katiba ya Jamhuri ya Muungano wala Katiba ya Zanzibar.

Jana wakati anahojiwa na kituo cha redio ya Ujerumani DW mada miaka 54 ya Muungano wetu Demokrasia na Haki za Binadamu anasema muungano wetu huu ndio ulioleta mfumo wa vyama vingi kabla ya muungano hakukuwa na mfumo wa vyama vingi amesahau kama Zanzibar.

Siasa za vyama vingi zimeanza toka mwaka 1954 kabla ya Tanganyika haijapata uhuru kulikuwa na ZPP ASP ZNP sijui alikusudia wingi gani huyu Profesa wakati huo Zanzibar hata idadi ya watu laki mbili haijatimia hapo hapo Profesa huyo anasema ikiwa mtu hajaridhika na matokeo ya uchaguzi ya urais anaweza kwenda Mahakamani.

Amesahau kama Katiba zote mbili ya Zanzibar na Muungano zinasema kwamba matokeo yote ya urais hayatohojiwa na Mahakama yeyote ile ya rufaa sijui katiba ipi aliyoisoma Profesa huyu Bana.
Bana hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom