Ukistaajabu ya Mussa..... Umewahi kusikia hii?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,278
6,671
Nilikuwa mpambe wa bw. Harusi, Tulienda kijiji fulani ( ..) Baada ya kukamilika taratibu
zote ukafika muda wa unyumba ambao bwana Harusi alitakiwa kukutana na mkewe
Kwanza kikatandikwa kitambaa cheupe na mabibi pale kitandani, baada ya hapo akaitwa
mpambe wa Bi Harusi eti nae awepo wakati wa uzinduzi.

Kilichonichosha na kunishangaza zaidi ni kuwa kama binti ni bikra bwana Harusi akishaiondoa
tu hatakiwi kuendelea kwa muda mrefu badala yake atamalizia kwa mpambe wa bibi Harusi
Bila kujali ni mke wa mtu au la!

Nilipojaribu kuhoji nikaambiwa hii ni mila ya watu hao ilikuwepo toka zamani ni siku hizi tu ndo
inapuuzwa.

Umeshawahi kusikia mila kama hizi katika ndoa?

balaa tupu haki ya mama! Ukisikia mila chafu zilizopitwa na wakati ndio hizi! Duh...!

Labda utujuze ni mila za watu wa pande zipi tuanze kuchunguza misaafu yet hapa!! Bt it looks like kidding for this age!!

Sijui kama unacho sema kinaukweli au umetunga mkuu.

Usibishe ndugu yangu, kuna mila za ajabu we acha tu.........

Hebu soma kuhusu mila hii.............. "Kule wilayani Ukerewe kuna mila inajulikana kama ‘Kusomboka' ambapo mwanamke aliyefiwa na mume hutakiwa kuingiliwa kimwili na mwanaume mwingine ili kuondoa mkosi wa vifo kijijini, na pale mume anapofiwa na mke naye hutakiwa kumwingilia mwanamke ambaye hutumika kwa kazi hiyo ya kuondoa mikosi na kwa kawaida shughuli hiyo hufanywa na mwanamume au mwanamke maalum wa anayetambulika rasmi kimila kwa kufanya shughuli hiyo."

Mkuu, Kama hujatuambia ni wapi au mkoa gani hii itabaki kuwa hadithi ya kubuni na kukosa mashiko.

Hiyo ni laana kwa Mungu, haikubaliki

Kabavako wala huna haja ya kuhukumu,mathalani wanyasa siku ya kwanza traditionaly mashangazi walikuwa wanalala pembeni mwa kitanda wakati shughuli inaendelea.Kwetu kuna kitu kinaitwa okwebohora ambapo mme anamwingilia mkewe kwa mara ya kwanza ,na ili kuonyesha mke kalelewa vizuri alikuwa anaresist na inabidi nguvu itumike,wakati mwingine jamaa kama kaoa bonge la mama ilikuwa inabidi kaka mtu waingilie kuongeza nguvu za ziada kumsaidia mdogo wao.Kuna 'kuleihya' pia ambako mwanamke aliolewa kwa njia ya kubebwa juu juu na vijana hadi kwa mme,kuna 'chagulaga' kwa wasukuma n.k. yote mambo ya mila na kumbuka enzi hizo hakukuwa na HIV.

Dah, hapana kwa kweli. Kama ipo nambie ili isijetokea ni kabila la rafiki yangu akaniomba niwe mpambe halafu ampambe mke wangu.

Usibishe ndugu yangu, kuna mila za ajabu we acha tu.........

Hebu soma kuhusu mila hii.............. "Kule wilayani Ukerewe kuna mila inajulikana kama ‘Kusomboka' ambapo mwanamke aliyefiwa na mume hutakiwa kuingiliwa kimwili na mwanaume mwingine ili kuondoa mkosi wa vifo kijijini, na pale mume anapofiwa na mke naye hutakiwa kumwingilia mwanamke ambaye hutumika kwa kazi hiyo ya kuondoa mikosi na kwa kawaida shughuli hiyo hufanywa na mwanamume au mwanamke maalum wa anayetambulika rasmi kimila kwa kufanya shughuli hiyo."

Duuh sa katika hyo shughuli ya kutoa mikosi wanatumia kinga au mila hairuhusu kinga?? Kwa staili hyo UKIMWI sijui kama utatuacha...

Wengi wanataka kujua ni wapi, Kuna kijiji kimoja katika vijiji
vya Pwani Mtwara kinaitwa MSIJUTE, zaidi ya huko sijawahi
kusikia kijiji kingine kwa tabia au mila kama hiyo!

kama mke mwenyewe ni bikira, nitapiga, nitatoa damu, nikienda kwa mpambe ambaye ni mzoefu anajua vizuri kuzungusha gurudumu na mtundu, mbona nitamwacha bibi harusi nikihamia kwa yule anayejua mautundu vizuri?....sote tunajua mabikira hawajui mapenzi ile kinoma....unaaza moja kuwafundisha aeiou....

sasa kama ndo hivyo huyo mpambe analazimishwa kuwa mpambe au ni ujiko kuwa mpambe!

hiyo ya kutandika kitambaa niliwahi ishuhudia ingawa si kwa macho mana tulikuwa kwenye harusi then mtu mzima mmoja akatutonya kinachoendelea ila ya kuhamia kwa mpambe mmh sijawahi sikia very new to me

Similar Discussions

Back
Top Bottom