Ukistaajabu ya Musa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukistaajabu ya Musa...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilimasera, Apr 15, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Duniani kuna mengi na wala hayaishi, mwanamke mmoja wa nchini Marekani kwa miaka 21 anakula masponji yanayowekwa ndani ya sofa, ukimkaribisha kwako mpe kiti cha mbao, ukimweka kwenye kochi basi atanyofoa masponji ya kochi lako.
  Adele Edwards, mama wa watoto watano wa nchini Marekani, mwenye umri wa miaka 31, kwa miaka 21 sasa amekuwa na tabia ambayo imewashangaza watu wengi hususani madaktari.

  Tangu alipokuwa na umri wa miaka 10, Adele amekuwa anapenda kula masponji yanayowekwa ndani ya sofa.

  Kabla ya kutoka nje kwenye misele yake, Adele hunyofoa masponji toka kwenye kochi lake na kuyaweka ndani ya pochi lake na huyala masponji hayo kila anapojisikia hamu.

  Kwa miaka 21 iliyopita, Adele ameishakula jumla ya kilo 91 za masponji. Mwaka jana pekee alijisevia masponji toka kwenye sofa saba na viti viwili.

  "Mwaka jana, nilikula masponji ya sofa saba, huwa nafungua zipu ya begi langu na kuanza kula masponji ninayoweka kwenye begi, ninapoanza kula masponji huwa siwezi kujizuia, madaktari wamekuwa wakiniambia kuwa kama nitaendelea na tabia hii basi nitafariki", alisema Adele.

  "Nilipokuwa na miaka 10, nilijaribu kula sponji, niliipenda ladha yake na tangu siku hiyo nimekuwa nikila masponji kila siku", alisema Adele.

  Angalia VIDEO ya Adele akila masponji chini.
  5600842.jpg 5600842.jpg  huyu nae na toilet paper


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Anashirikiana na panya huyo!
   
 3. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  duh kweli duniani kuna maajabu mengi
   
 4. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  wanasema ukistaajabu ya musa utayaona ya filauni!
   
 5. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  huyu nae na toilet paper

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Sa cha ajabu nini hapo? Kwanza masponji na toilet pepa zenyewe safi.Si wajaribu kula chafu waone.
   
 7. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahaaaaaaaa wale za kwenye dust been kaazi kwelikweli kwani hz hazisababishi kansa?
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hata hapa bongo aliwahi tokea mtoto aliyekuwa anakula magodoro...
   
 9. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hivi hakuna impact yeyote kiafya ukila magodoro au toilet paper??kama hakuna itabidi kwa maeneo yenye njaa wapelekewe vitu hivyo!!maana vinapatikana kirahisi!!lol
   
 10. s

  sugi JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  mapepo hayo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Its a disease, badala ya kuwananga just feel their pain. A prayer can do them good.
   
Loading...