Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni: Nchini Uganda mtoto wa miaka 9 amuoa mtoto mwenzie wa miaka 6

Hiyo siyo mara ya kwanza kutokea kisichana cha miaka 6 kuolewa. Kuna "mtume" alimuoa binti mwenye umri wa miaka 6 wakati muoaji akiwa na umri wa miaka zaidi ya 50.
Duh,ufirauni kweli kweli,kwa mtoto wa miaka sita kuna nini jamani,wanadamu kushnei.
 
Nasikia kuna tabia ya wanawake ya kustopisha mimba. Yani anapata mimba, wanafanya madawa yao ya kiganga mimba inaweza wekwa hata nakalioni na mwanamke akawa na makalio makubwa kweli. Ile mimba inakaa mpaka atakapoamua kuzaa hata kama miaka miwili. Hii inafanywa hasa kwa watoto wa shule na vyuo ili waendelee na masomo. Ila mwisho wa siku ndyo wanazaa watoto wa aina hiii ambao wameshakomaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Omba Mungu lisikupate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom