Ukistaajabu ya MAFATAKI utayaona ya Viongozi wa dini.

Digaller

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
745
427
Heshima wakuu wa MMU.

Jana nilienda na mamaa Nyumba ya wageni kuchunguliana vile vilivyotufanya tuwepo hapa Duniani. Wakati tunafanya maandalizi ya hapa na pale ghafla akiri yangu ikanituma niangalie nje kwa kupitia dirishani.
Nilichokiona sikuamini macho yangu hata kidogo kumuona jirani yangu akija na kitoto cha kidato cha pili pale nyumba ya wageni na yeye ana zaidi ya miaka 45, Wakati natafakari kama nimpigie simu kumuonya kuwa sijapenda hiyo tabia yake nikaona kitu kingine ambacho kimenifanya niilete hii mada humu Jamvini, Nilimuona Ustadhi kavaa mavazi ambayo mara kwa mara huvaa MSIKITINI au kwenye MIHADHARA kaongozana na kibinti kidogo ambacho nacho kimevaa USHUNGI wanaingia nyumba ya wageni kuchunguliana.

Swali kwa wana-Jamvi hivi vitu wewe umewahi kuvishuhudia?
Je ni halali kuvaa USHUNGI au ROZALI muendapo ku-do??

WEEKEND NJEMA WANA-MMU.
 
...e bana wee, hii mada nzuri kujadiliwa ila umeharibu mwishoni.
Dhambi haijali kiongozi wa dini au mavazi ya Ibada.

...By the way, si kila aingiae nyumba ya wageni anakwenda kuibanjua amri ya sita.
Otherwise, kusingekuwa na haja ya wamiliki wa nyumba hizo kuweka biblia kila chumba.
 
We umeenda na mamaa wako...unajuaje kwamba na yeye hakua na mamaa wake?Alafu kwanini mavazi yawe hoja hapa?We suruale unayovaa msikitini/kanisani huendi nayo huko nyumba ya wageni?
 
si vizuri bana,kama tunarepresent dini kufanya yale ya tofauti ni aibu.....:smash:
 
Hahahaaaaaa, mPwa, Siku hizi hawa ni wakubwa wenzetu bana...ahaya tuambie kwa hio wewe nawe ulikua na kibibi kizee chako?? MMmh lakini sasa mpwa, ulijuaje kama kile kitoto kilikua kidato cha pili? au kilikuwa mali yako kabla?? haya karibu kitimoto kidogo hapa
 
Kidato cha pili jama,lakini kwa kuwa kasema jamaa ni jirani yake labda na huyo mtoto ni jirani pia
 
Heshima wakuu wa MMU.

Jana nilienda na mamaa Nyumba ya wageni kuchunguliana vile vilivyotufanya tuwepo hapa Duniani. Wakati tunafanya maandalizi ya hapa na pale ghafla akiri yangu ikanituma niangalie nje kwa kupitia dirishani.
Nilichokiona sikuamini macho yangu hata kidogo kumuona jirani yangu akija na kitoto cha kidato cha pili pale nyumba ya wageni na yeye ana zaidi ya miaka 45, Wakati natafakari kama nimpigie simu kumuonya kuwa sijapenda hiyo tabia yake nikaona kitu kingine ambacho kimenifanya niilete hii mada humu Jamvini, Nilimuona Ustadhi kavaa mavazi ambayo mara kwa mara huvaa MSIKITINI au kwenye MIHADHARA kaongozana na kibinti kidogo ambacho nacho kimevaa USHUNGI wanaingia nyumba ya wageni kuchunguliana.

Swali kwa wana-Jamvi hivi vitu wewe umewahi kuvishuhudia?
Je ni halali kuvaa USHUNGI au ROZALI muendapo ku-do??

WEEKEND NJEMA WANA-MMU.

Yaani unaenda nyumba ya wageni, badala ya kufanya kilchokupeleka (kuchunguliana kama ulivyoainisha), waanza kupiga chabo wenzio!! Vipi ulikuwa unatafuta stimu nini? Au ile kuchungulia tu ukakutana na................!!! Tehe tehe tehe!
 
Wewe na wao hakuna tofauti, ilitakiwa kwanza ukemee nafsi yako kabla ya kuanza kushangaa ya wenzako

Kama mlichunguliana bila zana, wahi kwa Babu Ambi ukapate KIKOMBE
 
Kuna mada watu wanazichangia kwa hasira na uchungu....mmmh walishatendwa hawa, jamani mada nyingine ni kwa ajili ya kuchangamshana tu hazina maana za ya hapo so nawashauri tusijifanye so strict au wa kiroho zaidi ya wengine, sasa ndio kusema mmenigomea hiki kitimoto hapa? nile mwenyewe sio??
 
...e bana wee, hii mada nzuri kujadiliwa ila umeharibu mwishoni.
Dhambi haijali kiongozi wa dini au mavazi ya Ibada.

...By the way, si kila aingiae nyumba ya wageni anakwenda kuibanjua amri ya sita.
Otherwise, kusingekuwa na haja ya wamiliki wa nyumba hizo kuweka biblia kila chumba.

Asante mkuu, Nitaileta kivingine siku nyingine!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom