Ukistaajabu ya korosho utayaona ya pamba

Hustler1

Senior Member
Aug 10, 2018
116
110
Habari ndio hio, wakulima wa pamba nao hali si hali ni moto unafukuta full kuukopwa.

Hali hii haijawahi tokea zaidi ya miaka 20 iliyopita kipindi vyama vya msingi wakinunua pamba

Poleni wakulima hope mtalipwa fedha zenu japo hata list hampewi mmuzapo pamba.

Maendeleo hayana chama
 
Back
Top Bottom