juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Habari za wkend wana jukwaa,
Binafsi imefikia wakati hata mambo ya siasa sitaki kufuatilia kabisa hapa kwetu Tz,kwa sababu siasa zetu zinakera na zinaboa sana any way nirudi kwenye mada ni kwamba tangu Magufuli aingie madarakani hali ya maisha imekuwa ni mbaya sana,bora hata ya Kikwete yaani huku mtaani mambo ni magumu vibaya sana kwa kweli,inafikia hatua mtu unabadilisha aina ya biashara kila mara kutokana na kwamba kila biashara zinagoma.
Huyu Magufuli anatumbua sana watu ina maana hajui kwamba wale majipu walikuwa wakipata pesa wanakuja huku kwetu watu wa hali ya chini kutuungisha biashara zetu? Sasa wamebanwa ina maana wanategemea mishahara tu,obviously wote tunajua kwamba mtu ukiishi kwa mshahara tu lazima utatumia pesa kwa makini sana,sasa hapo ndipo sisi wajasiriamali tunapopata shida huku,bora hata ya Kikwete kwenye utawala wake watu walikuwa wanaiba ila kila mtu alikuwa anapata ridhiki yake vizuri tu,ila huyu magufuri kwa kweli akiendelea hivi basi watu tutakula nyasi na waliopo DSM watarudi mikoani tu,maana tutashindwa kulipa kodi za watu kwebye flame za biashara na hata majumbani,bora ya kikwete