Ukistaajabu ya bodi ya mikopo elimu ya juu utayaona ya watumishi

Kwann me anza kuwaza hayo ya uzanzibar wa mh Raisi..... Ofcource mm sipendi izi choko choko...kwa Raisi wetu SSH
Mkipata Raisi mpuuzi atawazima kama mshumaa...
Datc why kitabia nilifanana Sana na hayati magufuli....mpk kuna watu baadhi huwa wanajikuta wananiita magufuli....mm hata nisipo kuja kua Rais wa Tz moyo wangu una amani kuna mtu aliyaishi maono yangu....Japo kwa baadhi ya mambo sikukubaliana nae
 
Back
Top Bottom