ukistaajabu ya Al-bashiri utaona ya mkulu

msambaru

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
245
109
Ama kweli Tanzania ni nchi ya amani mpk siku ya kiama, watz niwaombe tudumishe upendo na mshkamano na kuwajali viongozi wetu, mpendwa raisi wetu katuwakilisha msibani malawi, amesema akitoka huko anaenda sudani kusini wataka kupigana, shime tupandishe kodi katika bidhaa za ndani tupatepo na pesa za kugharamia safari muhim za kitaifa kama hizi. Kama mtakua hamjaseto ishu zenu na pinda mseme akatoe pole malasiya kwa tishio la tsunami
 
Back
Top Bottom