Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,631
- 40,789
TRA walikua kimya ila baada ya hizi tozo lazima utawasikia wakitoa taarifa za makusanyo Kila mwezi.Mwendazake alisafisha hazina,acha mama aongeze Kodi kila sehemu
View attachment 1856832
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TRA walikua kimya ila baada ya hizi tozo lazima utawasikia wakitoa taarifa za makusanyo Kila mwezi.Mwendazake alisafisha hazina,acha mama aongeze Kodi kila sehemu
View attachment 1856832
Nimetoa maoni mkuu,Unampinga mwenyekiti wako wa chama?
Watuambie ukweli mwenye jukumu la kulipia codi ya nyumba ni nani Kati ya mwenye nyumba na mpangaji, na vipi kwa nyumba yenye zaidi ya moja ya mashineMkuu hapa wanatafuta urahisi kwa kuwa waliacha miji ikajengwa kiholela na inakuwa si rahisi kuorodhesha Majengo yote ili wambane mwenye jengo kulipa Kodi.
Huu unyanyasaji kwa wapangaji.
Kodi ya nyumbani kupitia luku siyo halali. Kwahiyo tuseme wameshindwa kubuni mbinu halali za kukusanya kodi.WATANZANIA HATUNA UTAMADUNI WA KULIPA KODI, na hatupendi KULIPA KODI. Nchi haiwezi kujengwa bila kodi za wananchi wazalendo,nakumbuka kuna kipindi kodi za majengo zilikuwa elfu kumi (10,000) tu kwa mwaka ila tulikuwa hatulipi/tunalipa kwa shida sana. Naomba tubadirike tuungane na Mhe. Rais SSH kuijenga Nchi yetu.
Wanachokifanya hawa jamaa ni sawa na wewe uwe na noti ya elfu kumi uvunje vunje na kuiweka kwenye mifuko yako tofauti ya surali na koti halafu uje usikusanye sehemu moja ukitarajia hela zitakuwa nyingiKodi ya nyumbani kupitia luku siyo halali. Kwahiyo tuseme wameshindwa kubuni mbinu halali za kukusanya kodi.
Kodi unazilipaje na una kipato kidogo? We uwezo wako kumeki ni 10000 kwa siku familia ile na uache hela ya kesho!Habari Greater thinker! Asante kwa uchambuzi, lakini naona umeonyeshwa udhaifu bila kupendekeza suluhisho. Njia zipo mbili na kila moja ina faida na hasara,
1. Mpangaji kulipa na kuwa refunded na mwenye nyumba kama ambavyo mwenye duka nakusanya VAT kutoka kwa mtumiaji kwa niaba ya Serikali. Faida hapa mpangaji atahakikisha kuwa analipa kwa wakati ili kuwa na uhakika wa umeme,kwani ukikatwa ni mwathirika wa kwanza
2. Mwenye nyumba kulipa moja kwa moja kupitia kulipa umeme,yaweza kuwa njia bora ila anaweza kuchelewa kulipa na kusababisha hasara kwa mpangaji. Njia zote zina faida na hasara nadhani tuje na suluhisho kuliko KULALAMIKA MWANZO MWISHO.
Mwisho, niliwahi kusema WATANZANIA HATUNA UTAMADUNI WA KULIPA KODI, na htupendi KULIPA KODI. Nchi haiwezi kujengwa bila kodi za wananchi wazalendo,nakumbuka kuna kipindi kodi za majengo zilikuwa elfu kumi (10,000) tu kwa mwaka ila tulikuwa hatulipi/tunalipa kwa shida sana. Naomba tubadirike tuungane na Mhe. Rais SSH kuijenga Nchi yetu.
Wewe na familia yako ni wanufaika wa hiyo Kodi.Kodi hii ni buku 10 kwa mwaka yaani kama mpo wapangaji 4 na luku ni moja kila mtu anatoa buku 2500 kwa mwaka punguzeni kulamika
Angalia tu namma walivyoingia madarakaniYaani sijui wachumi wa rais Samia ni watu wa namna gani, wako out of touch kabisa na maisha ya mtanzania halisi.
Lakini tatizo kubwa ni kuteua watu wanaojipendekezapendekeza kwa watawala kwa ajili ya ambition binafsi, badala ya kuteua watu ambao wana principles zao, ambao wanawaza faida za maamuzi kwa faida ya wananchi wengi badala ya maslahi yao binafsi
Leo eti kuna kodi ya Jengo ambayo kusheria na kikawaida inabidi ilipwe na mwenye Jengo husika, Lakini leo akina Mwigulu wanasema hapana, Kodi hii alipe Mpangaji kwenye hilo jengo kupitia LUKU pindi anaponunua umeme, halafu eti Mpangaji na Mwenye Jengo watajuana wenyewe kwa wenyewe watarudishianaje hiyo hela!
Yaani hapa Wajibu wa serikali wa kukusanya kodi anatwishwa mpangaji ambaye ni wananchi wengi, eti mwananchi awe ndo mwenye kumlipia mwenye jengo kodi ya jengo lake halafu eti yeye atazireclaim hizo pesa.
Hapa Serikali isitake kutupiga changa la macho, technically wajibu wa kidi ya nyumba serikali imeuhamishia kwa mpangaji badala ya mwenye jengo kwa sababu kwanza
1. Serikali haijafanya survey ya majengo yote nchini ili kujua kila jengo linastahiki kodi ipi ya jengo
2. Nyumba za kupanga wakati mwingine wanakaa mpanfaji zaidi ya mmoja, wakati mwingine kila mpangaji na mita yake, na wakati. mwingine wapangaji wote wanashare mita. Sasa katika mazingira haya ambayo kila mpangaji ana mkataba binafsi na mwenye nyumba convenience ya kuingiza makato hayo ya LUKU kwenye mkataba wa upangaji yanakuwaje rahisi?.
3. Kiwango cha matumizi ya umeme ya wapangaji katika nyumba wanayoshare ni tofautitofauti, Sasa mechanism ya kukukotoa refund kutoka kwa mwenye nyumba imekaaje?
4. Serikali haijatunga sheria kulazimisha refund ya mwenye jengo kwenda kwa mpangaji, pindi mpangaji atakapolipa kodi ya Jengo kwa niaba ya mwenye Jengo pindi mpangaji akinunua LUKU
Kiufupi Samia yeye anakwenda kuchokonoachokonoa angle zote ambazo ziliwapa wananchi unafuu kwenye maisha yao ya kila siku, yaani hapimi consequence za makodikodi yake. Anayafanya maisha yetu kuwa magumu sana.
Hatuwezi kufika kwa mtindo huu
Diallo ana akili sana! Hivi katika hali ya kawaida, unapata wapi ujasiri wa kumteua mwigulu kuwa Waziri wa Fedha!!Wakapimwe akili.
Mwenzao Dialo alisema huwa tunachagua vichaa
Serikali imeishiwa pumzi, labda sasa waseme ni kodi ya nishati tutawaelewa1. Serikali haijafanya survey ya majengo yote nchini ili kujua kila jengo linastahiki kodi ipi ya jengo
2. Nyumba za kupanga wakati mwingine wanakaa mpanfaji zaidi ya mmoja, wakati mwingine kila mpangaji na mita yake, na wakati. mwingine wapangaji wote wanashare mita. Sasa katika mazingira haya ambayo kila mpangaji ana mkataba binafsi na mwenye nyumba convenience ya kuingiza makato hayo ya LUKU kwenye mkataba wa upangaji yanakuwaje rahisi?.
3. Kiwango cha matumizi ya umeme ya wapangaji katika nyumba wanayoshare ni tofautitofauti, Sasa mechanism ya kukukotoa refund kutoka kwa mwenye nyumba imekaaje?
4. Serikali haijatunga sheria kulazimisha refund ya mwenye jengo kwenda kwa mpangaji, pindi mpangaji atakapolipa kodi ya Jengo kwa niaba ya mwenye Jengo pindi mpangaji akinunua LUKU
Nimelipenda shati la kipanyaMwendazake alisafisha hazina,acha mama aongeze Kodi kila sehemu
View attachment 1856832
Ndege wafananao huruka pamojaDiallo ana akili sana! Hivi katika hali ya kawaida, unapata wapi ujasiri wa kumteua mwigulu kuwa Waziri wa Fedha!!
Mtu amekaa kiujanja ujanja na kiupigaji pigaji tu!
Kipanya tengeneza website au photo album ya katuni zako kwa faida ya kizazi kijacho,
Hata hiyo ya darasani yenyewe nayo ni tia maji tia maji tu! Angekuwa ni kichwa, asingekuwa na lile jina lingine la Madelu Lameck.mwigulu ana akili za darasani tu. elimu dunia ZERO.