Ukistaajabu "magumashi" wabunge viti maalum CHADEMA utayaona ya wanafunzi waliofutiwa mitihani darasa la 7...

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,574
2,000
Najaribu kujiuliza kwa uchungu mkubwa eti kuna watoto wamefutiwa matokeo ya darasa la saba(7) mwaka huu kwa makosa ya ulaghai yaliyofanywa na wamiliki wa shule zao bila kuwahusisha watoto kwa malengo ya kupata ufauru bora (wa ulaghai) huku upande mwingine wa siasa kuna sarakasi zinafanyika kupitia mfumo kulazimisha (ulaghai) kupatikana wabunge wa viti maalumu kupitia chama kikuu cha upinzani CHADEMA arafu wahusika woote wamaghumashi wakibaki salama.

Hivi kwa ujinga huu unaofanyika nchini hivi hatustahili pigo takatifu kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa ukatili huu tunaowafanyia hawa viumbe wadogo (watoto waliomaliza darasa la 7) kwa kuingizwa kwenye mkenge bila utashi wao huku sisi mizee tukihujumu nchi kwa lengo la kubakia madarakani. Aisee hii inauma saana.
 

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,241
2,000
Hakuna mtoto wa shule binafsi aliyefutiwa mtihani.wote ni shule za serkali
 

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,574
2,000
Hakuna mtoto wa shule binafsi aliyefutiwa mtihani.wote ni shule za serkali
Asante Mkuu kwa taarifa. Jambo la msingi hapa na la kuumiza saana ni kwanini wafutiwe matokeo watoto ambao sio wahusika wa hujuma???..badala ya kushughulika na wahujumu (wamiliki wa shule)
 

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
18,951
2,000
Swali: mtoto akifutiwa matokeo maana yake hawezi kuendelea na elimu ya sekondari hata akienda shule binafsi?

Je akirudia inakuwaje?
 

IROKOS

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
10,195
2,000
Hakuna mtoto wa shule binafsi aliyefutiwa mtihani.wote ni shule za serkali
Does it matter?? Kama issue ni kupambana na kughushi na vitu feki how come huku kwingine wanapeta tuu??
 

IROKOS

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
10,195
2,000
Swali: mtoto akifutiwa matokeo maana yake hawezi kuendelea na elimu ya sekondari hata akienda shule binafsi?

Je akirudia inakuwaje?
Ataendeleaje wakati kufutiwa matokeo maana yake ni kama standard 7 kapata zero?
 

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,574
2,000
Kwa hiyo ulitaka wafanyweje tupe njia!
The solution was simple ni kushughulika na wamiliki wa shule walihosika kuwapa adhabu kali bila kuathiri matokeo ya watoto ambao hawajui mpaka sasa ni sanaa gani ilifanyika mpaka kupata ufauru huo.

Vivyo hivyo hata kwa swala hili la chadema mfumo(safi) ungeshughulika na woote waliafanikisha zoezi la kuapisha wabunge wa chadema bila kuangalia sura huku wakiawaacha hao wabunge walipata zari la mentally wakiendelea na kazi zao.

Kwani pamoja na hao wabunge kuelewa kuwa kuna taratibu hazikufuatwa kwa upande wa chama chao lakini si wao walifanikisha mchezo huo mchafu kwanza hawana uwezo (mmeshau juzi juzi Ndugai alivyokuwa amfukuza Halima na Esther bungeni kama Mbwa)!!
 

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
11,166
2,000
Kwa hiyo ulitaka wafanyweje tupe njia!
Walioiba mitihani siyo watoto ni waalimu na wasimamizi halafu wakawapa watoto na kuwaambia asitefuata maagizo ya walimu atafukuzwa shule;
Wakamatwe waalim ndo washitakiwe na watoto wapewe mitihani mingine kwa gharama za hao waalimu wezi.
 

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
9,755
2,000
Vyema!
Walioiba mitihani siyo watoto ni waalimu na wasimamizi halafu wakawapa watoto na kuwaambia asitefuata maagizo ya walimu atafukuzwa shule;
Wakamatwe waalim ndo washitakiwe na watoto wapewe mitihani mingine kwa gharama za hao waalimu wezi.
 

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
9,755
2,000
Sawa!
The solution was simple ni kushughulika na wamiliki wa shule walihosika kuwapa adhabu kali bila kuathiri matokeo ya watoto ambao hawajui mpaka sasa ni sanaa gani ilifanyika mpaka kupata ufauru huo.Vivyo hivyo hata kwa swala hili la chadema mfumo(safi) ungeshughulika na woote waliafanikisha zoezi la kuapisha wabunge wa chadema bila kuangalia sura huku wakiawaacha hao wabunge walipata zari la mentally wakiendelea na kazi zao, Kwani pamoja na hao wabunge kuelewa kuwa kuna taratibu hazikufuatwa kwa upande wa chama chao lakini si wao walifanikisha mchezo huo mchafu kwanza hawana uwezo (mmeshau juzi juzi Ndugai alivyokuwa amfukuza Halima na Esther bungeni kama Mbwa)!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom