Hoja yako ni nini?Hivi kuna wanasiasa ambao hawana msimamo kama wa chama tawala? Hao ndio waliopitisha mikataba ya hovyo ya gesi na leo mwenyekiti wao kasema mikataba ya hovyo eti wanashangilia kwa kusema mwenyekiti ni jembe huku wamesahau kuwa wao ndio waliopitisha akiwemo na cheamani
Ni wapi nimesema ninamuona jembe kweli!Ila huyo aliyeandika "fara" unamuona jembe kweli
Mkuu;Kwahiyo wamama ni dhaifu wewe unakili?
Ukiwa msaliti wa mambo ya watu, ni rahisi pia kujisaliti wewe mwenyewe kwenye mambo yako binafsi
Kwani wewe hoja yako ni nini hasa?Hoja yako ni nini?
Dogo unaonekana unadanganyika kirahisi sanaZitto uwezi kumuelewa ....kama ubongo wako mdogo.
Mkuu;“Mikutano mingine ya kiserikali inaweza kufanyika kwa njia ya mtandao kama Video Conference, kama alivyofanya Waziri Mkuu juzi akiwa na Wakuu wa Mikoa.“-Zitto Kabwe
Binadamu tunajifunza kutokana na makosa!Zitto ni opportunist sana; huzungumza lolote mahala popote anapodhani atapata uamaarufu. Nilimsapport sana mwaka 2007 kwa ajili ya skendo ya Buzwagi lakini baadaye nikagundua kuwa alikuwa ameidakia tu ili kupata umaarufu kama ilivyo ada yake.
Najizuia kutoa nenoMaoni ya Zitto Kabwe yamenifanya nizidi kuwa na shaka/ajizi (reservation) kwa yale ambayo anayasema lakini pia yanayosemwa na wanasiasa wa Tanzania!
Kwa muda wa siku 12, Zitto amebadili msimamo kwa jambo ambalo mazingira yake bado ni yaleyale. Ni kama anachokishauri anakifanya kulingana na upepo unavyovuma bila kujali kama huo upepo niwa muda mfupi au muda mrefu!
Nakumbuka mwaka 2013, Zitto aliwahi kusema tusiwaamini wanasiasa, Chama Tawala wala Wapinzani.
Ukitaka kusoma alichokisema Zitto kuhusu kutowaamini wanasiasa unaweza kugonga hapa;
LINK>>>Zitto Kabwe: Msiwaamini wanasiasa, chama tawala wala wapinzani
Nadhani Zitto haifuati kanuni inayosema, ''ukiwa muongo usiwe msahaulifu''
Haya ndiyo aliyoyasema Zitto ndani ya siku 12!
Katika moja ya mambo ambayo wanasiasa hasa wa upinzani yanawaangusha ni kukosa msimamo thabiti au kuwa vigeugeu kwa yale wanayoyasema na kuyatenda.
Zitto aliyeshauri bunge lifanye vikao vyake ili Waziri wa Fedha na Uchumi apeleke Bungeni Taarifa ya utafiti wa madhara ya mlipuko wa Korona lakini baada ya 12, Zitto huyo huyo anashangaa kwa nini bunge lifanye vikao vyake wakati kuna Janga la ugonjwa wa COVID-19?
Ni kama vile ametegesha mtego kama bunge likiahirishwa atajitokeza na kusema, unaona nilitoa ushauri wa kuahirisha bunge na wameufuata! Kama bunge halitaahirishwa na Waziri wa fedha kupeleka hoja bungeni, atajitokeza tena na kusema, unaona nilishauri serikali ipelekwa hoja bungeni kuhusu Janga la COVID-19.
Jiulize, mtu ambaye alifuata ushauri wa Zitto aliotoa tarehe 17/03/2020 na kuanza kutayalisha repoti ili apeleke bungeni, baada ya siku 12 anasikia tena ushauri ukitoka kwa Zitto huyo huyo akishangaa kwa nini bunge liendelee wakati kuna Janga la COVID-19.
Kwa misimamo hii ndio maana kampuni ya utafiti inayoitwa Afrobarometer ilifanya utafiti na kugundua wanasiasa wa upinzani wanaaminiwa na wananchi kwa asilimia 36.
Anatapatapa kupata kick,si unajua ni mtu ambae huwa umaarufu wake unapanda kwa kupitia kuibua mijadala kama ufisadi na kujifanya anajua sana kuliko wanasiasa wote. We juzi kakurupuka kuweka tweet kwamba Prof Janabi katumbuliwa,kuna kipindi alikurupuka pia akasema prof Asad ametekwa. Kama kawaida mfa maji...Maoni ya Zitto Kabwe yamenifanya nizidi kuwa na shaka/ajizi (reservation) kwa yale ambayo anayasema lakini pia yanayosemwa na wanasiasa wa Tanzania!
Kwa muda wa siku 12, Zitto amebadili msimamo kwa jambo ambalo mazingira yake bado ni yaleyale. Ni kama anachokishauri anakifanya kulingana na upepo unavyovuma bila kujali kama huo upepo niwa muda mfupi au muda mrefu!
Nakumbuka mwaka 2013, Zitto aliwahi kusema tusiwaamini wanasiasa, Chama Tawala wala Wapinzani.
Ukitaka kusoma alichokisema Zitto kuhusu kutowaamini wanasiasa unaweza kugonga hapa;
LINK>>>Zitto Kabwe: Msiwaamini wanasiasa, chama tawala wala wapinzani
Nadhani Zitto haifuati kanuni inayosema, ''ukiwa muongo usiwe msahaulifu''
Haya ndiyo aliyoyasema Zitto ndani ya siku 12!
Katika moja ya mambo ambayo wanasiasa hasa wa upinzani yanawaangusha ni kukosa msimamo thabiti au kuwa vigeugeu kwa yale wanayoyasema na kuyatenda.
Zitto aliyeshauri bunge lifanye vikao vyake ili Waziri wa Fedha na Uchumi apeleke Bungeni Taarifa ya utafiti wa madhara ya mlipuko wa Korona lakini baada ya 12, Zitto huyo huyo anashangaa kwa nini bunge lifanye vikao vyake wakati kuna Janga la ugonjwa wa COVID-19?
Ni kama vile ametegesha mtego kama bunge likiahirishwa atajitokeza na kusema, unaona nilitoa ushauri wa kuahirisha bunge na wameufuata! Kama bunge halitaahirishwa na Waziri wa fedha kupeleka hoja bungeni, atajitokeza tena na kusema, unaona nilishauri serikali ipelekwa hoja bungeni kuhusu Janga la COVID-19.
Jiulize, mtu ambaye alifuata ushauri wa Zitto aliotoa tarehe 17/03/2020 na kuanza kutayalisha repoti ili apeleke bungeni, baada ya siku 12 anasikia tena ushauri ukitoka kwa Zitto huyo huyo akishangaa kwa nini bunge liendelee wakati kuna Janga la COVID-19.
Kwa misimamo hii ndio maana kampuni ya utafiti inayoitwa Afrobarometer ilifanya utafiti na kugundua wanasiasa wa upinzani wanaaminiwa na wananchi kwa asilimia 36.
Hapa sio kuelewa mada za mtu msomi kama Zitto.Ni suala la kuambiana ukweli kwamba huyu ni mwanasiasa mpotoshaji,alipotosha kigoma kwamba polisi wameua raia mia moja,juzi amepotosha kuwa Prof Janabi ametumbuliwa na alipotosha kuwa Prof Assad ametekwa. Yote hii apate umaarufu wa kisiasa.Ukute umeishia darasa la saba B utaelewa lecture ya msomi wa uchumi level ya zitto kabwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Si zitto si mbowe si magufuliZitto uwezi kumuelewa ....kama ubongo wako mdogo.
Kama hujaelewa basi achana nayo!Kwani wewe hoja yako ni nini hasa?
Wewe hujfanyi mjuaji?
Kuandika ''najizuia kutoa neno'' ina maana umeishatoa neno?Najizuia kutoa neno
Maandiko yake ni kama anategesha! Nimeshangaa sana!Anatapatapa kupata kick,si unajua ni mtu ambae huwa umaarufu wake unapanda kwa kupitia kuibua mijadala kama ufisadi na kujifanya anajua sana kuliko wanasiasa wote. We juzi kakurupuka kuweka tweet kwamba Prof Janabi katumbuliwa,kuna kipindi alikurupuka pia akasema prof Asad ametekwa. Kama kawaida mfa maji...
Nimecheka sana aisee. Kuna watu huenda shule kusomea ujinga. Maandishi yao ni vituko.Wewe unayejua ''fasihii ya darasa LA 6 A'' wakati hujui hata kuandika neno HATA badala yake unaandika ATA huku ukichanganya kwenye sentesi helufi kubwa na ndogo, utaweza kuchambua hoja!
Tanzania kuna vituko!
Maoni ya Zitto Kabwe yamenifanya nizidi kuwa na shaka/ajizi (reservation) kwa yale ambayo anayasema lakini pia yanayosemwa na wanasiasa wa Tanzania!