Ukisoma habari hii inakushawishi kuwa Mlima Kilimanjaro upo Kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukisoma habari hii inakushawishi kuwa Mlima Kilimanjaro upo Kenya

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Hofstede, Dec 11, 2010.

 1. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Grand Slam tennis champion Martina Navratilova amelazwa hospitali nairobi baada ya kupanda kupata matatizo ya maji kwenye mapafu baada ya kupanda mlima kilimanjaro. Ukisoma habari yote utaona kuwa Kenya imeweza kujitangaza kama ndipo mlima huu ulipo kutokana na kuwa na huduma bora za afya. Nina hakika kama tungekuwa tungekuwa na Hospitali za kuaminika mkoani Kilimanjaro au hata Arusha basi tungeweza kujitangaza kwa tukio hili. Huu ni wakati sasa wa kufikiri macroeconomically badala ya kuangalia vitu kimojakimoja.

   
Loading...