Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Kwa muda mrefu sasa, kila inapotokea chadema wameshindwa kesi basi bavicha hulialia na kulalamika sana kuwa mahakama haziko huru na zinaongozwa kwa amri kutoka juu.!
Mbunge Lijualikali aliposhindwa kesi na kuhukumiwa ,chadema walitangaza kuwa hiyo ni amri kutoka juu.
Mbunge Lema aliposhindwa rufaa na kukaa mahabusu mpaka leo, bavicha na chadema kwa ujumla walipaza sauti kuwa mahakama nchini haziko huru. Kama wahenga walivyosema kuwa ukiwa muongo lazima uwe na kumbukumbu, pia njia ya mnafiki ni fupi sana.
Leo bavicha na chadema wanashangilia mtuhumiwa wa madawa ya kulevya Mbowe kufungua kesi mahakamani zidi ya RC!!
Je, bavicha na chadema mmesahau kuwa mahakama huwa zinapokea amri kutoka juu ?
Ni kwanini mnatumia mamilioni ya ruzuku ya chama kufungua kesi kwenye mahakama zinazopokea amri kutoka juu.?