Ukisikiliza press ya Mbowe na ukisikiliza press ya Mdee pana Igizo la Kanumba

Wakuu heshima kwenu...ukisikiliza press ya mbowe na ukisikiliza press ya Mdee hapa pana igizo la kanumba.

Nahiisi michezo umechezwa hivii Mbowe amebariki majina kimya kimya au Kamati Kuu imepitisha hayo majina kimya kimya wakayapeleka NEC kwa mujibu wa press ya NEC.

Sasa CHADEMA itaonekanaje kwa wanachama na Wananchi kwa ujumla kwa sababu wamesema hadhalani kuwa wanapinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu hivyo wangepitisha majina wasinge eleweka.

Kama kawaida Mbowe akamtuma Mdee alitibue kwa kwenda kuapa Bungeni baada ya hapo Kamati Kuu itawavua uwanachama, ila wale Wabunge watakata rufaa kwenda Baraza Kuu hapo Baraza Kuu litapinga maamuzi ya Kamati Kuu.

Kwa upande mwingine watashinda wakina Halima Mdee hii italeta hoja mbili, moja itavumisha kuwa CHADEMA kunademokrasia ya ukweli, pili Mbowe na Kamati Kuu watakuwa wamejitoa kiaina kwa kusema Wanachama ndio wamebaliki.

Hivyo yaishe tuangalie uchaguzi ujao.
Unapenda iwe hivyo ili kuikwepa aibu iliyopo ya waliocheza hizi sarakasi kwa lengo la kuwapata wabunge wa upinzani ili wapangiwe kamati ambazo zinatakiwa kuongozwa na wabunge kutoka vyama vya upinzani. Kama ulimsikia Ndugai akisema, hata CHADEMA wakiwafukuza, yeye atawatambua tu na kuwapangia kamati. Hapo kama uko vizuri upstairs utajua nani anayewahitaji hawa wamama kuwa wabunge.
 
Wakuu heshima kwenu...ukisikiliza press ya mbowe na ukisikiliza press ya Mdee hapa pana igizo la kanumba.

Nahiisi michezo umechezwa hivii Mbowe amebariki majina kimya kimya au Kamati Kuu imepitisha hayo majina kimya kimya wakayapeleka NEC kwa mujibu wa press ya NEC.

Sasa CHADEMA itaonekanaje kwa wanachama na Wananchi kwa ujumla kwa sababu wamesema hadhalani kuwa wanapinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu hivyo wangepitisha majina wasinge eleweka.

Kama kawaida Mbowe akamtuma Mdee alitibue kwa kwenda kuapa Bungeni baada ya hapo Kamati Kuu itawavua uwanachama, ila wale Wabunge watakata rufaa kwenda Baraza Kuu hapo Baraza Kuu litapinga maamuzi ya Kamati Kuu.

Kwa upande mwingine watashinda wakina Halima Mdee hii italeta hoja mbili, moja itavumisha kuwa CHADEMA kunademokrasia ya ukweli, pili Mbowe na Kamati Kuu watakuwa wamejitoa kiaina kwa kusema Wanachama ndio wamebaliki.

Hivyo yaishe tuangalie uchaguzi ujao.
Na aliyemtoa Hanje usiku gerezani ni nan?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Mwisho wa match tutaelewa mkuu, haina haja kutumia nguvu kubishana
Unachelewa sana kuelewa. Watu hawajasubiri mwisho wa match kuelewa hili. IQs zinatofautiana, wasikilize walioelewa ili uendelee na mengine, kwa sababu inaonekana kutokana na mahaba uliyonayo kwa CCM, hata inapofanya makosa wewe huwezi kuyaona. Hili liko wazi mno kiongozi, huhitaji kusubiri mwisho.
 
Kwa hiyo mbowe ndio alienda kumtoa Nusrat Hanje gerezani, Nje ya utaratibu Wa makahakama na kwenda kuapa ? Nipe jibu hapa
Umeona Nusrat tu?
1: Kwa hiyo serikali ndiyo ilimpendekeza mahabusu?
Usiwaamini wana siasa.
 
Kama ni hivyo, Spika na Bunge lake pamoja na NEC ndio watakuwa wameuzwa, wao ndio itambidi waende mahakamani kujiosha na Hilo,
Asikupotezee muda huyu jamaa na assumptions zake ambazo anapenda iwe hivyo ili mahaba yake yasiwe kwenye shida. Akubali tu wakubwa wake wamelikoroga hili.
 
Mimi nahisi majina yalipelekwa ila orodha ilikuwa kubwa kuliko idadi ya watu 19, kumbuka majina huwa yanazidishwa ili yakae kama akiba inapotokea mbunge amefariki basi anachomolewa anayefuatia toka pale walipoishia kuteuliwa hukohuko NEC bila chama kulazimika kupeleka jina upya; kumbuka alipofariki Regia aliteuliwa mwingine kutoka orodha iliyokuwepo NEC. Ilitakiwa NEC wateue kuanzia namba 1 hadi 19 kwa kufuata series. Sasa nahisi baadhi ya hawa walioteuliwa hawakuwemo katika series ya 1 hadi 19 ila walikuwa baada ya namba 19. Inaonyesha Mdee alirekebisha series ya orodha kwa kuwachomoa baadhi waliokuwa ndani ya 19 na kuwaweka ambao walikuwa katika orodha lakini mbali i.e. baada ya namba 19. Hapa ndipo kiini cha mgogoro kati yao. Kwa maneno mengine wamezidiana kete.

Mgogoro utakwisha kwa baadhi kutolewa katika orodha na wengine wapya kuingizwa katika orodha ya namba 1 hadi 19. Win win situation
Uliziona forms za NEC alizoonyesha Mnyika kwamba hawajazijaza hata jina moja na bado wanazo? Umesikia kwamba Mdee alikwepa swali la namna gani majina yao yalifika NEC? Umemsikia Mdee akikwepa kuelezea juu ya Nusrat Hanje kutolewa gerezani na kutupa mzigo kwa DPP na mahakama? Ukiandika maelezo kulingana na unavyopenda iwe, ni bora ukajiuliza maswali mengi yanayogoma kupata majibu.
 
Unachelewa sana kuelewa. Watu hawajasubiri mwisho wa match kuelewa hili. IQs zinatofautiana, wasikilize walioelewa ili uendelee na mengine, kwa sababu inaonekana kutokana na mahaba uliyonayo kwa CCM, hata inapofanya makosa wewe huwezi kuyaona. Hili liko wazi mno kiongozi, huhitaji kusubiri mwisho.

Niliacha kuwasikiliza nyie mnaosema mna IQ kubwa baada ya kuona kila mnaposhindwa uchaguzi wanakuja na story ileile kwamba wameibiwa kura

IQ kubwa huwa wanasolve problems hawalalamiki.

IQ kubwa huwa hawatoi matusi na maneno mabaya huwa wanaweka hoja mezani.

IQ kubwa chama kinakuaga cha wananchi sio cha viongozi na ndio maana nguvu ya umma imebaki kwa viongozi wa juu na kwenye mitandao. Chama hakina nguvu ya umma

IQ kubwa wanawake wa viongozi wa chama wangegoma kwenda kuapishwa bungeni lakini wameapa na wanaume wao wanasubiri Kula mema ya nchi
 
Wakuu heshima kwenu...ukisikiliza press ya mbowe na ukisikiliza press ya Mdee hapa pana igizo la kanumba.

Nahiisi michezo umechezwa hivii Mbowe amebariki majina kimya kimya au Kamati Kuu imepitisha hayo majina kimya kimya wakayapeleka NEC kwa mujibu wa press ya NEC.

Sasa CHADEMA itaonekanaje kwa wanachama na Wananchi kwa ujumla kwa sababu wamesema hadhalani kuwa wanapinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu hivyo wangepitisha majina wasinge eleweka.

Kama kawaida Mbowe akamtuma Mdee alitibue kwa kwenda kuapa Bungeni baada ya hapo Kamati Kuu itawavua uwanachama, ila wale Wabunge watakata rufaa kwenda Baraza Kuu hapo Baraza Kuu litapinga maamuzi ya Kamati Kuu.

Kwa upande mwingine watashinda wakina Halima Mdee hii italeta hoja mbili, moja itavumisha kuwa CHADEMA kunademokrasia ya ukweli, pili Mbowe na Kamati Kuu watakuwa wamejitoa kiaina kwa kusema Wanachama ndio wamebaliki.

Hivyo yaishe tuangalie uchaguzi ujao.
utavishwa khanga mtoto wa kiume, acha kabisa tabia zako hizo!!
 
Self-deceptive rationalisation.

Hivyo yaishe tuangalie Uchaguzi ujao.
This is called .self-deceptive rationalisation'.
 
kumbe unahisi.

weka facts hizo hisia hata mbuzi anazo.

By the way vyuo vikuu vimekua vingi sana Tz ila inashangaza idadi ya wajinga inazidi kuongezeka.
 
Mimi nahisi majina yalipelekwa ila orodha ilikuwa kubwa kuliko idadi ya watu 19, kumbuka majina huwa yanazidishwa ili yakae kama akiba inapotokea mbunge amefariki basi anachomolewa anayefuatia toka pale walipoishia kuteuliwa hukohuko NEC bila chama kulazimika kupeleka jina upya; kumbuka alipofariki Regia aliteuliwa mwingine kutoka orodha iliyokuwepo NEC.

Ilitakiwa NEC wateue kuanzia namba 1 hadi 19 kwa kufuata series. Sasa nahisi baadhi ya hawa walioteuliwa hawakuwemo katika series ya 1 hadi 19 ila walikuwa baada ya namba 19. Inaonyesha Mdee alirekebisha series ya orodha kwa kuwachomoa baadhi waliokuwa ndani ya 19 na kuwaweka ambao walikuwa katika orodha lakini mbali i.e. baada ya namba 19. Hapa ndipo kiini cha mgogoro kati yao. Kwa maneno mengine wamezidiana kete.

Mgogoro utakwisha kwa baadhi kutolewa katika orodha na wengine wapya kuingizwa katika orodha ya namba 1 hadi 19. Win win situation
Ungekuwa na hiyo orodha hoja yako ingeweza kusimama otherwise, inabakia kuwa hoja 'zoazoa'.
 
Wakuu heshima kwenu...ukisikiliza press ya mbowe na ukisikiliza press ya Mdee hapa pana igizo la kanumba.

Nahiisi michezo umechezwa hivii Mbowe amebariki majina kimya kimya au Kamati Kuu imepitisha hayo majina kimya kimya wakayapeleka NEC kwa mujibu wa press ya NEC.

Sasa CHADEMA itaonekanaje kwa wanachama na Wananchi kwa ujumla kwa sababu wamesema hadhalani kuwa wanapinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu hivyo wangepitisha majina wasinge eleweka.

Kama kawaida Mbowe akamtuma Mdee alitibue kwa kwenda kuapa Bungeni baada ya hapo Kamati Kuu itawavua uwanachama, ila wale Wabunge watakata rufaa kwenda Baraza Kuu hapo Baraza Kuu litapinga maamuzi ya Kamati Kuu.

Kwa upande mwingine watashinda wakina Halima Mdee hii italeta hoja mbili, moja itavumisha kuwa CHADEMA kunademokrasia ya ukweli, pili Mbowe na Kamati Kuu watakuwa wamejitoa kiaina kwa kusema Wanachama ndio wamebaliki.

Hivyo yaishe tuangalie Uchaguzi ujao.
Mimi nahisi Kuna la ziada hapa.
Kwamba CDM baada ya kipigo cha mbwa mwizi itawezaje kubaki kwenye media na kutrend!???
Sakata la kina Mdee ndio jibu mujarrab..
Haiwezekani watu wakajiteua bila kwanza kufanya Mapinduzi kuondoa viongozi wakuu na kamati kuu..
Nasema hivyo kwa sababu hata namna NEC walivoshughulikia mgogoro ni kituko
Kabla ya hukumu walipaswa kuwa na majibu kuridhisha kwa maswali yafuatayo
√ Form walipata wapi
√Nani ali'endorse (sio SG?)
√ Muhuri walipata wapi
√ Nan aliwasiliana naTume
√ Nani aliziwasilisha Tume
√ Hao 19 walipatikanaje!?
√ Michakato wa kupatikana hao 19 kabla ya kupitishwa haukujulikana ndani ya chama!?

Yaani kifupi ni sawa na kusema Wanamshughulikia Rubani aliyelipua Bomu lakini wanajifanya hawajui kwamba Rubani hana bomu, hawezi kujichukulia bomu store, hawezi kujua wapi pa kulipua. Hawezi kutoa amri ya kufanya mashambulizi..
 
Back
Top Bottom