Ukisikiliza na kuangalia Bunge la Tanzani utasikia haya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukisikiliza na kuangalia Bunge la Tanzani utasikia haya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Aug 23, 2011.

1. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#1
Aug 23, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,246
Likes Received: 3,833
Trophy Points: 280
Ama kweli taifa limekuwa la wasanii na linakera kwa vimbwanga vyake! Ukisikiliza Bunge la Tz utasikia MCHAKATO, MIRADI, MEGAWATT, TAKWIMU, JITIHADA kedekede. Usijali, #TumuachieMungu

2. T

The Priest JF-Expert Member

#2
Aug 23, 2011
Joined: Dec 8, 2010
Messages: 1,026
Likes Received: 23
Trophy Points: 135
Upembuzi yakinifu,serikali sikivu,tumejaribu,mtuamini n.k

3. Rweye

Rweye JF-Expert Member

#3
Aug 23, 2011
Joined: Mar 16, 2011
Messages: 15,057
Likes Received: 3,084
Trophy Points: 280
Upembuzi yakinifu,serikali sikivu...

4. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#4
Aug 23, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,246
Likes Received: 3,833
Trophy Points: 280

Hakika tuliwaamini sasa tumewachoka, tunahitahiji kujitawala!

5. Eshacky

Eshacky JF-Expert Member

#5
Aug 23, 2011
Joined: Apr 26, 2011
Messages: 966
Likes Received: 33
Trophy Points: 45
#TumuachieMungu

6. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#6
Aug 23, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,246
Likes Received: 3,833
Trophy Points: 280

Hakika yeye ndiye muweza wa yote!!

7. pcman

pcman JF-Expert Member

#7
Aug 23, 2011
Joined: Oct 9, 2008
Messages: 743
Likes Received: 33
Trophy Points: 45
Umesahau hii:serikali itaendelea

8. T

The Priest JF-Expert Member

#8
Aug 23, 2011
Joined: Dec 8, 2010
Messages: 1,026
Likes Received: 23
Trophy Points: 135
Tumefanya mengi,wananchi wametuchagua,tuwe na uvumilivu,tuko kwny mchakato

9. bullet

bullet JF-Expert Member

#9
Aug 23, 2011
Joined: Oct 31, 2009
Messages: 959
Likes Received: 61
Trophy Points: 45
mkakati kabambe wa kuzalisha megawati!

10. Triple G

Triple G JF-Expert Member

#10
Aug 23, 2011
Joined: Aug 12, 2011
Messages: 746
Likes Received: 85
Trophy Points: 45
Utackia napenda kutuma salamu kwa Watoto zangu Musa,Hamisi,mke wangu mwajuma,pamoja na familia ya mh. Rais..hi kali

11. Esperance

Esperance JF-Expert Member

#11
Aug 24, 2011
Joined: Jan 27, 2011
Messages: 364
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Nia thabiti na mipango endelevu, napenda kumpongeza mh wazir kwa hotuba yake nzur iliyojaa matumain tele kwa watz. Mwisho kabisa nimshukuru mke wangu mpenz kwa uvumiliv wake.

12. KWI KWI

KWI KWI JF-Expert Member

#12
Aug 24, 2011
Joined: Mar 31, 2011
Messages: 286
Likes Received: 7
Trophy Points: 0
''Awali ya yote natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wapiga kura wa jimbo langu........br br br bra bra bra bra nawahakikishia sita waangusha.....''

13. Shine

Shine JF-Expert Member

#13
Aug 24, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0

Kutokana na bi kiroboto (Anna Makinda) alisema ni kariakoo kwahiyo ata kama ukisemwa uongo wowote ukimissbehave ni fresh tu

14. Shine

Shine JF-Expert Member

#14
Aug 24, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0
Mweshimiwa spika linaskika kila baada ya ki sentens

15. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#15
Aug 24, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,246
Likes Received: 3,833
Trophy Points: 280
Taifa la werevu linalotawaliwa na wajinga chini ya kila Kikwete!

16. Crashwise

Crashwise JF-Expert Member

#16
Aug 24, 2011
Joined: Oct 23, 2007
Messages: 22,172
Likes Received: 862
Trophy Points: 280
yana chekesha laki ndiyo ukweli wenyewe mbunge anatumia dkk 5 kusalimia/pongezi kwa familia ya rais,waziri mkuu, familia yake, chama chake na nk bila kujari nayo ni matumizi mabovu ya kodi ya walalahoi wasio kuwa na uhakika wa mlo hata mmoja...

17. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#17
Aug 24, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,246
Likes Received: 3,833
Trophy Points: 280

Ahaahaahaaa watz wa leo yan ndo tunapewa matumaini?

18. Ndallo

Ndallo JF-Expert Member

#18
Aug 24, 2011
Joined: Oct 1, 2010
Messages: 7,134
Likes Received: 1,089
Trophy Points: 280
Bila kusahau:Serikali LEGELEGE!!!!

19. Cha Moto

Cha Moto JF-Expert Member

#19
Aug 24, 2011
Joined: Jul 2, 2011
Messages: 945
Likes Received: 4
Trophy Points: 35
Muongozo wa Spika
Fedha zimeshatengwa
Mradi utaanza baada mwaka ujao wa fedha

20. Shenkalwa

Shenkalwa JF-Expert Member

#20
Aug 24, 2011
Joined: May 3, 2011
Messages: 580
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Ndiyoooooooooooooooooo, Siyooooooooooooooooooooooooo, meza: pwa, pwa, pwa, pwa, pwa. Masaburi yao

Loading...