Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 26,060
- 23,940
Mkuu umeandika jambo kubwa sana.. sure vijana wa morali ya kazi tatizo ni mfumo wa kujiajiri... umenivumbua macho nitaandaa makala ya uchambuzi wa kitu ulochodokeza hapo.Tatizo ni maboresho ya kweli kuendana na idadi ya nguvu kazi zilizopo Tanzania na fursa stahiki kuendana na hizi nguvu kazi
maana sahihi ni;
Tunao vijana wengi wenye nguvu na morale za kufanya kazi ila ajira hazitoshelezi na ajira tunazo ziita fursa(kujiajiri)hazija tengenezewa mfumo rasmi kufanikisha maboresho ya kweli ...
hali hii itazidi kuendelea hivi kwani bado watanzania tunaamini miujiza kitu ambacho si sahiiihii
Hapana,wamekanyaga mafuta ya upako wamezimia.Hapo wanabet au nimeelewa vibaya