Ukisikia Vita Ya Kiuchumi Ndio Hii...

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,035
23,881
Kuelekea uchumi wa kati
Screenshot_20200302-211836-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni maboresho ya kweli kuendana na idadi ya nguvu kazi zilizopo Tanzania na fursa stahiki kuendana na hizi nguvu kazi
maana sahihi ni;
Tunao vijana wengi wenye nguvu na morale za kufanya kazi ila ajira hazitoshelezi na ajira tunazo ziita fursa(kujiajiri)hazija tengenezewa mfumo rasmi kufanikisha maboresho ya kweli ...
hali hii itazidi kuendelea hivi kwani bado watanzania tunaamini miujiza kitu ambacho si sahiiihii
 
Mkuu umeandika jambo kubwa sana.. sure vijana wa morali ya kazi tatizo ni mfumo wa kujiajiri... umenivumbua macho nitaandaa makala ya uchambuzi wa kitu ulochodokeza hapo.
 
Hahahaaa... huo mchezo ni hatari sana, usiombe ukakuingia kwenye damu (kilevi hatari sana kama sigara) kutoka sio rahisi, hata kama mkeka unachanika kila wikiend. Faida yake utaufahamu mpira wa ulaya kwa kiasi fulani. Kwani hii ni Bongo?
 
Kila hotuba wale "belly-bossoms" huwa wanamwagia sifa za kijinga "limujamaa"!Do they consider the tomorrows of these young fellas?😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom