Ukisikia Ujasiri ndio huu Sasa, Angalia Hawa watoto wanachomfanyia mama yao mzazi aliye mgonjwa mahututi

Nguvu ya mtandao..sehemu kubwa ya maisha yasasa hayana uhalisia na mambo yalivyo.
Kuna watu wanaujasiri wa khali ya juu sana

Hivi unapata wapi nguvu za kupiga selfie ukiwa unatabasamu na mama yako aliye mgonjwa mahututi kiasi hiki na bado kafa unapost picha hiyohoyo mtandaoni.

Picha inajieleza kabisa mama anapambania uhai wake angalia sura za watoto

Angalia picha ambatanishi, ungekuwa wewe ungeweza?

Tujifunze matumizi sahihi ya mtandao

Mungu wa ajabu sana, unashangaa hao vijana wanaishi miaka mingi kweli.
 
What if kama hapo ni hospitali?
Hiyo Ni shughuli ya manesi na doctors na ssio maadili hata ingekuwa hospital kumpiga mtu picha akiwa kwenye ku struggle kufariki

Kw hiyo walienda kutengeneza movie ya mama Yao akikata roho hospital? Huo ujasiri wa kuwa Hadi na nguvu za kupiga picha mama Yao akiwa Hivyo waliutoa wapi?

Picture reading Ni kitu kidogo nyuso zao wote zimeelekezwa kwenye camera sio kwa mgonjwa wangekuwa Wana struggle na mgonjwa nyuso zao zote zinge face mgonjwa na zisingekuwa kavu Hivyo

Hata picha tu za mapenzi za I love you hu concentrate kwenye uso wa unauempenda sio kwenye camera ya mpiga picha sembuse hiyo ya mtu ana struggle kufa ? Unaonyeshaje upendo kwa misura mikavu hiyo iliyokodolea kamera badala ya huyo mama?

Fikiria hata mtu anaaga marehemu anamshika Halafu mimacho kakodolea kamera huku anasema marehemu I loved you so much!!!!

Hao wakamatwe kwa mauaji ya mama yao na ndugu wa upande wa wazazi pande zote wawavalie njuga Killers hao
 
MATAGA hawajawahi kuwa na akili, ona sasa ujinga gani huo wa kupiga picha namna hiyo!.
 
Hiyo Ni shughuli ya manesi na doctors na ssio maadili hata ingekuwa hospital kumpiga mtu picha akiwa kwenye ku struggle kufariki

Kw hiyo walienda kutengeneza movie ya mama Yao akikata roho hospital? Huo ujasiri was kuwa Hadi na nguvu za kupiga picha mama Yao akiwa Hivyo waliutoa wapi?

Picture reading Ni kitu kidogo nyuso zao wote zimeelekezwa kwenye camera sio kwa mgonjwa wangekuwa Wana struggle na mgonjwa nyuso zao zote zinge face mgonjwa na zisingekuwa kavu Hivyo

Hata picha tu za mapenzi za I love you hu concentrate kwenye uso wa unauempenda sio kwenye camera ya mpiga picha sembuse hiyo ya mtu ana struggle kufa ? Unaonyeshaje upendo kwa misura mikavu hiyo iliyokodolea kamera badala ya huyo mama?

Fikiria hata mtu anaaga marehemu anamshika Halafu mimacho kakodolea kamera huku anasema marehemu I loved you you much!!!!

Hao wakamatwe kwa mauaji ya mama yao na ndugu wa upande wa wazazi pande zote wawavalie njuga Killers hao
Kweli ndugu, hata kama ingekuwa ni hospitali.. hizo nguvu unapata wapi kumpiga selfie mama yako katika hali hiyo
 
Hakuna ujasiri ni cowardice & stupidity!
Matumizi mabaya ya mitandao..
Akili zao siyo sawa...fools!
Mama hakustahili hili, idiots kuliko TRUMP!

Kwa akili hizo police brutality itaendelea!

Everyday is Saturday........................... :cool:
 
Wajomba wawafungulie mashtaka hao watoto wa marehemu.Iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hizo.
Pumbavu zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom