Ukisikia Ujasiri ndio huu Sasa, Angalia Hawa watoto wanachomfanyia mama yao mzazi aliye mgonjwa mahututi

Paploman

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
1,448
2,000
Kuna watu wanaujasiri wa khali ya juu sana

Hivi unapata wapi nguvu za kupiga selfie ukiwa unatabasamu na mama yako aliye mgonjwa mahututi kiasi hiki na bado kafa unapost picha hiyohoyo mtandaoni.

Picha inajieleza kabisa mama anapambania uhai wake angalia sura za watoto🤔

Angalia picha ambatanishi, ungekuwa wewe ungeweza?

Tujifunze matumizi sahihi ya mtandao

FB_IMG_1591038035851.jpg
 

LIKE

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
4,171
2,000
masikini watoto

hawawezi kukuelewa;mapenzi kwa mzazi wao yamewatia kiwi ya macho

Apumzike Kwa Amani.
 

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
11,982
2,000
Wanatabasamu apo ukute baba yao kashafariki wanasubiri mama afe wagawane mali. Mama mwenyewe ukute ndyo kastafuu mafao yake yanasoma muda si mrefu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom