Ukisikia Pinda ni mnafiki ona sasa haya

Hapana sio kwa sababu ilikuwa ndogo, panapostahili sifa sifia tu sio kukejeli. Mimi namsifu huyu mdogo wangu kuwa jambo alilotenda ni jema.
 
Kila jamii ikiangamia lazima kutabakia masalia yawezekana pia Januari akawa masalia ya CCM. Na pia tukupumbe ile Darwin Theory of Evolution and survival of the fittest na yale maelezo kuwa sio lazima mtoto wa daktari awe daktari
 
Mimi nafikiri kwa uozo wote huu htuna budi kuandamana kushinikoiza serikali yote ijiuzulu ili tuchague nyingine, coz hawa hatuwaamini tena, hawapo kwa maslahi ya wananchi wapo kwa maslahi ya matumbo yao na Magamba
 
kwa kweli january namkubali ni mmoja kati vijana wachache wenye akiri nzuri ndani ya ccm
 
Alikataa kwa sababu ilikuwa ndogo nape mwanzake angonga mpaka m10 M20 M30 halafu yeye laki 280 hata mimi ningekataa, Mtoto wa mkulima yeye kanyagwa twenda hat buku kumi kama polisi wetu yeye mkulima bwana

mkuu unaona mbali sana, mtoto wa mkulima anapenda ndogo ndogo ndio maana alikataa shangingi jipya!
 
Katika taarifa iliyochapishwa kwenye gazeti la raia mwema la novemba 23 yenye kichwa cha habari "Pinda, Makinda, wavuta za Jairo" imechapishwa fomu ya malipo ya jumla ya sh 1,120,000/= kwa viongozi wanne huku jina la Mwenyekiti wa kamati ya nishati na madini January Makamba likiwa limekatwa. Kwa mujibu wa jedwali January alipaswa kupokea 280,000/= lakini hakuzipokea. Mimi naanza kuamini kwamba kauli za January ni kielelezo halisi juu ya imani na msimamo wake kwenye maswala yenye maslahi kwa taifa na je tuna vijana wangapi ndani ya CCM wanaoweza kufanya anayoyafanya January?

GZ

Anazo za kutosha baba ake alishamchumia!
 
Alikataa kwa sababu ilikuwa ndogo nape mwanzake angonga mpaka m10 M20 M30 halafu yeye laki 280 hata mimi ningekataa, Mtoto wa mkulima yeye kanyagwa twenda hat buku kumi kama polisi wetu yeye mkulima bwana
Mkuu siamini kama mtu anakataa pesa kwa sababu ya kiwango, kwani posho za bunge za kawaida huwa hapokei?je kiwango cha posho za kila siku zinalingana na kiasi hiki?na je unataka kuniambia kwamba January anapata fedha nyingi kuliko boss wake spika kiasi cha kuona laki mbili kamahela za madafu?siyo kweli. Mnyonge myongeni lakini haki yake mpeni, mimi naona hapo January kawazidi wote uzalendo hata mtoto wa mkulima kaniabisha kusaini posho za Jairo wakati watanzania tulikuwa gizani. Utakumbuka katika suala la kutatua tatizo la umeme wapinzani hasa cdm waliishauri serikali kupunguza matumizi hasa posho ili tuwezi kuagiza mitambo namafuta tuzalishe umeme. Kitendo cha kupokea posho wakati Tanzania ikiwa gizani haikuwa sahihi kabisa, big up January umetufundisha kitu vijana
 
wabunge nao wamesign na wapinzani wamo pia
Hii ndio point ya muhimu kuliko zote. Hamna sehemu ambayo CCM walishawahi kupinga posho. but viherere wapinzni wakiongozwa na CDM walijidai kuwalaghai wananchi kuwa hawapokei posho but in real ni Zitto na J. Makamba tu ndio huwa hawachukui posho.
 
Nimesoma mwanahalisi la leo kumbe Pinda na Makinda nao walisaini pesa za jairo ili hali wenyewe serikali inawalipia kila kitu. Hao wawili walisaini kila mmoja 280,000 kwa kikao kisichozidi dakika 40. Sasa huyu ndo yule aliyekataa shangingi??? na ndio maana alikuwa mstari wa mbele sana kutetea bajeti huu ni uhuni sana, makinda simlaumu sana yeye uwezo wake wa kufikiri uko chini sana people might not notice the difference if you urge with a .......
Hee Bwn Johnsecond ukisikia baraa hilo ni baraa, sasa huyu Mhs Pinda mtoto wa mkulima kwa nini yeye kama waziri mkuu asiulize hizi fedha tunazosaini na kupewa ni za nini?????????? Ni sawa kabisa na waziri Ngeleja pamoja na Malima walio saini 4 million bila kuuliza fedha hizi ni za nini, kweli tuna serikali ua usanii tuu!!!!!!!!!!!
 
Na DR Kafumu alisign about TZS 940,000 a day. Jamaa hana hata mwezi Bungeni lakini tayari kachafuka.
 
Niambieni Waziri Mkuu mmoja aliyekuwa sharp na competent au mweledi haswa! Wote bogus!
 
Hii ndio point ya muhimu kuliko zote. Hamna sehemu ambayo CCM walishawahi kupinga posho. but viherere wapinzni wakiongozwa na CDM walijidai kuwalaghai wananchi kuwa hawapokei posho but in real ni Zitto na J. Makamba tu ndio huwa hawachukui posho.

great sinker
 
Alikataa kwa sababu ilikuwa ndogo nape mwanzake angonga mpaka m10 M20 M30 halafu yeye laki 280 hata mimi ningekataa, Mtoto wa mkulima yeye kanyagwa twenda hat buku kumi kama polisi wetu yeye mkulima bwana

hahaaaaa mtoto wa mkulima kanyaga twende...hata buku 3 anasaini unachezea msimbazi weye...hahaaa pinda mwanakwetu kazi unayo mwaka huu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom