Ukisikia nuksi ndio hii.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukisikia nuksi ndio hii....

Discussion in 'Sports' started by Jaluo_Nyeupe, May 29, 2011.

 1. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Unakuta mtu anashangilia timu ya mkoa wa Mwanza na kupokea kipigo kabla hakijapoa anapokea kingine cha simba. Mara duh! Kumbe mtu huyo anashangilia na Man U pia. Yaani ni nuksi kweli kweli, kwa nini wasitenganishe hii michezo ichezwe kwa siku tofauti walau ku-balance maumivu?
   
 2. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hahahaaa, mi sio shabiki wa mpira, ila nimekuhurumia sana, pole sana mkuu. inaonekana wekeend yako imeparaganyika kabisa, erokamano, omela jaduong!!
   
 3. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Unaweza ukatenga mwili na roho kama vimewekwa kwa gundi ya maji!
   
 4. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  erokamano jaduong.
   
 5. M

  Masuke JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Kidogo jana iwe hivyo kwangu, ila angalau barca wakasawazisha maumivu yote ya timu zangu mbili ambazo zilifungwa.
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,162
  Trophy Points: 280
  Poleni sana mlioumizwa kiasi hicho. Mzee leo kannunia maana yeye ni Manchester na mie nikawa naishangilia Barcelona.
   
Loading...