Wapoti JF-Expert Member Aug 28, 2013 2,824 1,095 Sep 5, 2014 #1 hivi akimchumbia mwanamke swali la kwanza atakalojiuliza mwanamke ni lipi? Attachments 1409896751391.jpg 59.4 KB · Views: 579 1409896773248.jpg 34.1 KB · Views: 537 1409896793832.jpg 43.9 KB · Views: 513 1409896823566.jpg 54 KB · Views: 491
MZIMU JF-Expert Member Apr 29, 2011 4,057 1,371 Sep 5, 2014 #2 Unafanya kazi gani?. Miili kama hiyo siku hizi sio muhimu sana. Karisasi kadogo kanatosha.
A aSeyAsseY Member Sep 4, 2014 21 2 Sep 5, 2014 #3 MZIMU said: Unafanya kazi gani?. Miili kama hiyo siku hizi sio muhimu sana. Karisasi kadogo kanatosha. Click to expand... haaaaahaaaa kaduchuuuuuu tuuuuu
MZIMU said: Unafanya kazi gani?. Miili kama hiyo siku hizi sio muhimu sana. Karisasi kadogo kanatosha. Click to expand... haaaaahaaaa kaduchuuuuuu tuuuuu
INGENJA JF-Expert Member Sep 11, 2012 4,990 4,255 Sep 5, 2014 #4 haya sindio mamiili ya kujichoma sindano????
MZIMU JF-Expert Member Apr 29, 2011 4,057 1,371 Sep 5, 2014 #5 Niheri ukatunisha mishipa ya ubongo, utakua na faida kubwa kwa dunia kuliko kutunisha mishipa ya mikono.
Niheri ukatunisha mishipa ya ubongo, utakua na faida kubwa kwa dunia kuliko kutunisha mishipa ya mikono.
Wapoti JF-Expert Member Aug 28, 2013 2,824 1,095 Sep 5, 2014 Thread starter #6 INGENJA said: haya sindio mamiili ya kujichoma sindano???? Click to expand... huu si ulemavu kwa kweli haivutii kabsaaaaaaa wala kutamanisha
INGENJA said: haya sindio mamiili ya kujichoma sindano???? Click to expand... huu si ulemavu kwa kweli haivutii kabsaaaaaaa wala kutamanisha
Babeake JF-Expert Member Aug 28, 2014 460 147 Sep 5, 2014 #7 mmmh kwa hii hapana hata mvuto hamna..........
MZIMU JF-Expert Member Apr 29, 2011 4,057 1,371 Sep 5, 2014 #9 miss chagga said: huu utumwa sasa Click to expand... Malizia utumwa wa Mawazo!
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,633 697,790 Sep 5, 2014 #10 Mangangari poa hayo yanabinuliwa kama nini
miss chagga JF-Expert Member Jun 7, 2013 57,821 48,969 Sep 5, 2014 #11 MZIMU said: Malizia utumwa wa Mawazo! Click to expand... kabisa duh
pmwasyoke JF-Expert Member May 27, 2010 4,593 2,978 Sep 5, 2014 #12 Huwa nasikia hawa watunisha misuli hawana maisha marefu!
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,951 93,913 Sep 5, 2014 #13 pmwasyoke said: Huwa nasikia hawa watunisha misuli hawana maisha marefu! Click to expand... kwa sababu gani?
pmwasyoke said: Huwa nasikia hawa watunisha misuli hawana maisha marefu! Click to expand... kwa sababu gani?
Wapoti JF-Expert Member Aug 28, 2013 2,824 1,095 Sep 5, 2014 Thread starter #14 mshana jr said: Mangangari poa hayo yanabinuliwa kama nini Click to expand... yanabinuliwaje mshana sijakuelewa
mshana jr said: Mangangari poa hayo yanabinuliwa kama nini Click to expand... yanabinuliwaje mshana sijakuelewa
Wapoti JF-Expert Member Aug 28, 2013 2,824 1,095 Sep 5, 2014 Thread starter #15 aSeyAsseY said: haaaaahaaaa kaduchuuuuuu tuuuuu Click to expand... kama haka hapa Attachments 1409916769365.jpg 40.5 KB · Views: 157
Mmasihiya JF-Expert Member Dec 2, 2011 389 170 Sep 5, 2014 #17 Sasa natambua kuna tofauti kati ya kuvimba na kujazia.
Red Scorpion JF-Expert Member Feb 1, 2012 5,736 4,252 Sep 5, 2014 #18 Wapoti said: kama haka hapa Click to expand... Kibamia!!!