Ukishindwa kupata njia za kupata pesa ukiwa umelala ujue utafanya kazi mpaka unakufa

vijana wa form six bwana,haka kalidanganywa na porojo za mwalimu wake.

Hapo kamejiona kana busara sana
 
ila kweli kabisa. Mtu anapiga bao 6. Analala amechoka anapata wapi muda wa kuwaza maendeleo?
 
Mtoa mada ametoa kitu cha ukweli, isipokuwa kaharibu alivyosema watu wasifanye mapenzi, amekuwa kama kaingiza mzaha.
Iko hivii?
Kuna masaa mahsusi ukiyatumia kuwaza, huwa kuna matokeo ya mafanikio. Si pesa tu, hata maisha kwa uumla wake.
Muda wa alfajiri, hasa tuseme kuanzia saa9 hadi 11, ni masaa mazuri sana kuweza kupata majibu na suluhisho la vitendawili mbalimbali.
Muda huo huwa kuna utulivu mkubwa sana kimwili, kiakili na kimazingira. Fanyia utafiti ushauri huu, lazima utakupatia matokeo chanya.
 
Hata kama sio Muislam, google Quran 78:9-11
"Na tukaufanya usingizi kuwa ni starehe........mwisho kabisa inasema "tukaufanya mchana ni wa kutafuta maisha"

Nalala na natafuta maisha. Kuhusu kufanya mapenzi mi sina muda maalum. Nikipata nafasi tu.
 
Mtoa mada ametoa kitu cha ukweli, isipokuwa kaharibu alivyosema watu wasifanye mapenzi, amekuwa kama kaingiza mzaha.
Iko hivii?
Kuna masaa mahsusi ukiyatumia kuwaza, huwa kuna matokeo ya mafanikio. Si pesa tu, hata maisha kwa uumla wake.
Muda wa alfajiri, hasa tuseme kuanzia saa9 hadi 11, ni masaa mazuri sana kuweza kupata majibu na suluhisho la vitendawili mbalimbali.
Muda huo huwa kuna utulivu mkubwa sana kimwili, kiakili na kimazingira. Fanyia utafiti ushauri huu, lazima utakupatia matokeo chanya.
Kwa kawaida mwili unakuwa katika relaxation ya kiwango cha juu kabisa. Hata ndoto unazoota wakati huo mara nyingi zina ujumbe muhimu sana kwako.
 
Kufanya kazi ni agizo la Mungu. "kazi ni ibada". Kuna muda wa kufanya kazi na wa kulala (kupumzika) maisha yako yote
 
point unayo ila hapo kwenye mambo yetu umezingua..

unajua sisi watanzania ni bingwa wa pombe na hayo mambo..

ndio maana big brother tunashinda kila mwaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom