Ukishazidisha saa 6 kamili usiku tu lazima uamke na hang over na harufu ya pombe mdomoni na jasho la mwili

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Ulabu una maajabu sana.Kunywa unywavyo lakini usizidishe saa 6 kamili usiku. Ukishazidisha hata dakika 1 tu ni lazima uamke na hang over bab'kubwa na maharufu ya pombe mdomoni.Mpaka jasho nalo linakuwa na kipombe pombe!

Namshukuru Mungu niliacha pombe.
 
drink responsibly

ukishazingatia hilo tu ni basi, hata ukirud saa kumi unaweza kuamka ukajiandaa na job asubuhi yake, na isiathiri performance yako huko kazini,,,,

watu wanatofautiana uwezo wa kuhimili pombe, usikariri.
huyo anaetokwa jasho lenye harufu huyo amekubuhu, nitachelea kumwita mlevi... kwa wengine tunao-refresh mara moja moja weekend na kaglas ka mvinyo hatuwezi kutokwa na jasho la aina hiyo...\


warning..... pombe ni adui wa maendeleo kama itakutawala.
 
Me napandana niache kula beer,,japo sio mlevi mwisho henken tano,,,ila nikinywa nahamka sipo Poa kabisa,, halafu vikao vya pombe vina vishawishi sana aisee, kama leo nimehamka kama Nna marelia *****
 
Back
Top Bottom