Ukishangilia mabaya kwa jirani yakihamia kwako umeonewa

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
wiki nzima mabaya yameikumba wabunge wa ccm kupelekwa mahakamani ukawa wameshadadia sana.
lakini mwisho wa wiki wale woote wa kskz akina kitilya kufikishwa mahakamani kwa kutakatisha pesa na kunyimwa dhamana ukawa wamepigwa ganzi.
ukisema kutoka kaskz umeigusa chadema bila ubishi.
 
usijaribu kuungaunga uongo ili ionekane wale ni chadema. kama suala ni u-kaskazini mbona kuna ccm kibao tu mikoa hiyo? pia zingatia wizi huo ulifanyika katika utawala wa ccm.
 
usijaribu kuungaunga uongo ili ionekane wale ni chadema. kama suala ni u-kaskazini mbona kuna ccm kibao tu mikoa hiyo? pia zingatia wizi huo ulifanyika katika utawala wa ccm.
tulia ngoja tuisikilize kesi itakavyoendelea itamlenga nani na kwa lengo lipi
 
wiki nzima mabaya yameikumba wabunge wa ccm kupelekwa mahakamani ukawa wameshadadia sana.
lakini mwisho wa wiki wale woote wa kskz akina kitilya kufikishwa mahakamani kwa kutakatisha pesa na kunyimwa dhamana ukawa wamepigwa ganzi.
ukisema kutoka kaskz umeigusa chadema bila ubishi.

Hata Chenge ni wa Kaskazini. Tunachohitaji siyo itikadi zetu bali kuondoa makosa na ubadhirifu bwa Mali za umma.Tunahitaji kujua the ABC za wizi wote tusibague makosa.Walio kosa wawajibishwe kutoka Richmond to Escrow
 
yaani unatafuta kuwaingiza chadema unakosa sasa ulibaki ni kuungaunga ili upoze nafisi yako! wezi wala rushwa watabaki kuwa ni ccm tu.
 
ilitamkwa wazi kwenye mikutano ya kuomba ridhaa ya wananchi ya kutawala kwamba watafungwa mafisadi wawe ni CCM au chadema na bila kujali makabila yao na rangi zao..tunapaswa kujenga hoja kwamba je wametakatisha fedha au hawakutakatisha fedha.
 
Back
Top Bottom