Ukishangaa ya Prof. Palamagamba Kabudi utaona ya Nape na Kinana

Konzo Ikweta

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
735
1,464
Tanzania tunaishi kwa matukio!

Wakuu habarini za muda, Week mbili zilizopita ilisambaa clip video ya Prof. Palamagamba Kabudi akihojiwa na BBC kwenye kipindi cha FOCUS-AFRICA. kabudi alinukuliwa akisema "Not only Azory Gwanda who has dissapeared & died" naishia hapo tu panatosha.

Basi watu wakawa attention sana na kuandika mengi kuhusu Kabudi, Sasa hivi hakuna mtu anaehoji tena kauli ya Kabudi tumegeukia video clip inayosemekana kuwu ni mazungumzo ya simu kati ya kinana na Nape.

Najaribu kuwaza ndo kusema hii ya nape na kinana imezima maswali ya watu kuhoji kuhusu kauli ya kabudi kuhusu kutoweka na kufariki kwa Azory Gwanda?

Najaribu kufikiria au hii ya Nape na Comrade Kinana kama wanavomuita imetengenezwa ili kuzima waliokuwa wanahoji kauli ya kabudi?

Karibuni tusaidiane kuwaza na kuwazua!!!
Naipenda Nchi Yangu Tanzania
 
Back
Top Bottom