Ukishangaa ya musa.....

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
wakuu naomba kuwakilisha katika pitapita zangu,nimekutana na hii news...MWANAUME ALIEKUWA AKITUMIA ARV AOTA MATITI.,nikaafikiri ni ARV original au ndo jamaa alibungiaa za wife,za kutengeneza chakulaa cha mtoto aka manyonyo akizani ARV ndo yaka mkutaa hayaa. breast.jpg
 
Back
Top Bottom