Ukishangaa ya Kikwete utayaona ya Kenyatta

Abunuas

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
8,813
1,823
safari za nje 24 ndani ya mwaka mmoja kwa Uhuru kenyatta imeanza kuwasha moto Kenya.
habari yenyewe hii hapa. jisomee.

Uhuru's frequent flier diary strains State House budget

uk.jpg

President Uhuru Kenyatta (left) is received by Deputy President William Ruto at the JKIA upon arrival from Lusaka, Zambia, where he attended the burial of President Michael Sata last year.

IN SUMMARY

  • Questions arise over the value to the taxpayers of President's frequent travels abroad.

President Uhuru Kenyatta has made at least 24 foreign trips in the past one year, underlining his frequent-flier status that has turned the spotlight on the cost to the taxpayer.

Nine of the trips have been in the past three months causing a strain on the Presidency's budget that became apparent in January when Treasury secretary Henry Rotich sought Parliament's approval for an extra Sh50 million to cater to Mr Kenyatta's local travel needs.

Official data shows that the Presidency has already exceeded its recurrent budget allocation for the fiscal year ending June 30 by Sh300 million with travel spending as the main driver.

Concerns over the cost of the President's foreign trips mounted last week after it emerged that 84 people would be accompanying him to the inauguration of Nigeria's president-elect Muhammadu Buhari.

Mr Kenyatta's foreign trips have particularly come under
scrutiny because the majority have been made to countries Kenya trades the least with, bringing into question what value the taxpayer is getting for the money spent.

The President's travels, which at times have lasted for a week, have not escaped the attention of keen followers of the country's diplomacy who expected them to be aligned to the pursuit of economic agenda that the Jubilee government set upon coming to office in May 2013.

"Foreign trips should be minimised, not just because of expenses, but also because they create an impression that our leaders are running away from problems at home," said XN Iraki, an economics lecturer at the University of Nairobi.

Mr Iraki said the President's many trips abroad are not only hurting in terms of the direct costs to the taxpayer but also because they set the tone for other public officials to waste public funds on foreign trips.

During his travels, Mr Kenyatta is usually accompanied by large delegations, including the security detail and senior government officials who draw hefty sums in travelling allowances.

READ: Uhuru, Ruto exceed OP budget amid austerity call

Senior members of a presidential delegation reportedly receive a daily out-of-pocket allowance of up to $400 (Sh40,000) while the government directly pays for their food and accommodation.

The Controller of Budget's (COB) half-year report for the period ending December 2014 indicated that the Presidency consumed Sh75 million in foreign travels - Sh15 million more than what was spent during a similar period the previous year. The Presidency consists of the offices of the President and the Deputy President.

But the budget-bursting impact of Mr Kenyatta's frequent-flier lifestyle lies in the Ministry of Foreign Affairs which in the corresponding period spent Sh604 million on foreign travel, a huge growth over the previous year's Sh416 million.

The Foreign affairs ministry is the one that foots the bill for the members of the President's delegation during a foreign trip. This year alone, Mr Kenyatta has travelled thrice to Tanzania and twice to Ethiopia to attend regional summits, mostly to resolve political crises in South Sudan and Burundi.

On February 2, the President was in Addis Ababa, Ethiopia, as the rapporteur of the Intergovernmental Authority on Development (Igad), to witness the two warring South Sudanese factions sign a peace deal following months of bloodshed.

since 2009 Obama has taken only 31 foreign trips (31 trips in 5years). George W. Bush in the first 5 years took only 28 foreign trips. These are presidents of the United States the largest superpower in the world :an economic powerhouse.

Vipi kwa marais wetu kama Jakaya na Uhuru na uchumi wa nchi ukiwa mdogo kabisa duniani?
 
Acha kupiga kelele wewe unadhani Rais wa nchi ni babu yako?Rais ni kiongozi mkuu wa nchi na ni alama ya taifa ndani na nje ya nchi sasa asitoke kwa shughuli za kikazi za nje ya nchi anakuogopa wewe?Unachoshangaa hapa ni nini na hoja isiyoeleweka, ndo madhara ya kukurupuka na kushindwa kuelewa rais wa nchi ni nani?usimfananishe na babu yako huko kijijini na kama huna hoja just keep quit!!
 
Sasa safari za Obama na Bush zinatusaidia nini wewe, afu watu wengine hawafikiri sawasawa!unataka watanzania wakusaidie nini kupitia uzi wako huu usio na maana!
 
Daaa kijana wa BAVICHA ameshaanza huyu,Viroba vinasumbua hapa!muulize Dr.Slaa ile helkopta yake imeishia wapi au mzee wa anga!
 
since 2009 Obama has taken only 31 foreign trips (31 trips in 5years). George W. Bush in the first 5 years took only 28 foreign trips. These are presidents of the United States the largest superpower in the world :an economic powerhouse.

Vipi kwa marais wetu kama Jakaya na Uhuru na uchumi wa nchi ukiwa mdogo kabisa duniani?

Subirini mwaka 2090 mtakapoingia Ikulu ndo muanzishe uzi huu teh teh teh!MNATOKWA POVU TU.
 
Acha kupiga kelele wewe unadhani Rais wa nchi ni babu yako?Rais ni kiongozi mkuu wa nchi na ni alama ya taifa ndani na nje ya nchi sasa asitoke kwa shughuli za kikazi za nje ya nchi anakuogopa wewe?Unachoshangaa hapa ni nini na hoja isiyoeleweka, ndo madhara ya kukurupuka na kushindwa kuelewa rais wa nchi ni nani?usimfananishe na babu yako huko kijijini na kama huna hoja just keep quit!!

Hhaha hujaelewa kilichoandikwa pole
 
that is stealing in the name of travel allowances, this is very difficult to control especially for African Presidents
 
Acha kupiga kelele wewe unadhani Rais wa nchi ni babu yako?Rais ni kiongozi mkuu wa nchi na ni alama ya taifa ndani na nje ya nchi sasa asitoke kwa shughuli za kikazi za nje ya nchi anakuogopa wewe?Unachoshangaa hapa ni nini na hoja isiyoeleweka, ndo madhara ya kukurupuka na kushindwa kuelewa rais wa nchi ni nani?usimfananishe na babu yako huko kijijini na kama huna hoja just keep quit!!

Acha kukariri mbona Marais wa ulaya hawasafiri kama huyu wa Kenya na Tanzania...
 
Acha kupiga kelele wewe unadhani Rais wa nchi ni babu yako?Rais ni kiongozi mkuu wa nchi na ni alama ya taifa ndani na nje ya nchi sasa asitoke kwa shughuli za kikazi za nje ya nchi anakuogopa wewe?Unachoshangaa hapa ni nini na hoja isiyoeleweka, ndo madhara ya kukurupuka na kushindwa kuelewa rais wa nchi ni nani?usimfananishe na babu yako huko kijijini na kama huna hoja just keep quit!!

Sasa huu ni mjadala au ugomvi? Haya basi hakuna haja ya kujadili maana Rais sio babu yake kule kijijini na tungemshauri Rais ahamishie ofisi huko huko nje na tukiwa na shida tutamfata au kutuma ujumbe.
Umeridhika?
 
since 2009 Obama has taken only 31 foreign trips (31 trips in 5years). George W. Bush in the first 5 years took only 28 foreign trips. These are presidents of the United States the largest superpower in the world :an economic powerhouse.

Vipi kwa marais wetu kama Jakaya na Uhuru na uchumi wa nchi ukiwa mdogo kabisa duniani?
Look!

Bush ba Obama hakuhitaji kusafiri kwenda kuomba misaada. Wa kwetu wanaweza kusafiri kwenda mahali A kuomba misaada wakanyimwa misaada hivyo inabidi wasafiri tena waende mahali B ambako pia wakinymwa misaada watalazimika kwenda mahala C, na kadha wa kadha.
 
Kwenda kwenye kesi ni lazima! Hatujui hizo 24 ngapi ni trip za kesi. Mkuu wetu kasafiri bana for leisure.
 
Sasa safari za Obama na Bush zinatusaidia nini wewe, afu watu wengine hawafikiri sawasawa!unataka watanzania wakusaidie nini kupitia uzi wako huu usio na maana!
Usiwe mkurupukaji mkuu,
uzi huu una maana sana, wenzetu safari 28 za kiongozi wao wanahoji
sisi hadi sasa tunajihisi wapweke mana kila kukicha mkulu yupo kigulu na njia,

Ningeongea mengi lakini jua kwamba bajeti yake inayopangwa huwa wanaover spend kwa safari hizi,

Hebu acha ushabiki, kuwa na uchungu na nchi yako, unless kama unafaidkia kupitia hayo
sitashangaa kuutetea u.pu.pu unaotetea, inauma sana
 
since 2009 Obama has taken only 31 foreign trips (31 trips in 5years). George W. Bush in the first 5 years took only 28 foreign trips. These are presidents of the United States the largest superpower in the world :an economic powerhouse.

Vipi kwa marais wetu kama Jakaya na Uhuru na uchumi wa nchi ukiwa mdogo kabisa duniani?
What does a US president need abroad?
 
Kufananisha safar za marais wa nchi tajir na maskin ni uchiz.

Hata ktk maisha yetu tajir na jiran take maskini ni lazima maskin afike said kwa jiran yake
 
Usiwe mkurupukaji mkuu,
uzi huu una maana sana, wenzetu safari 28 za kiongozi wao wanahoji
sisi hadi sasa tunajihisi wapweke mana kila kukicha mkulu yupo kigulu na njia,

Ningeongea mengi lakini jua kwamba bajeti yake inayopangwa huwa wanaover spend kwa safari hizi,

Hebu acha ushabiki, kuwa na uchungu na nchi yako, unless kama unafaidkia kupitia hayo
sitashangaa kuutetea u.pu.pu unaotetea, inauma sana

Tatizo ni ushabiki na mahaba tu ndo yanawadrive, hata kama angelua na safari chache mgekuja hapa kulipuka tu mkatafutiza hata mavazi anayovaa, nyie asiyewajua nani, ukiwa mpinzani Tanzania unakua kichaaa!
 
Subiri 2030 nitakapokuwa Raisi. Matumizi mabaya kama haya nitayafuta.

Nimewaambia mnapenda sana kujilisha upepo kushabikia thread bila kujua majukumu ya rais, wewe naona unaota kuwa Rais kuzimu huo mwaka 2030 utakua babu kama yule mwingine anayehangaika na magwanda na Ikulu ataishia kupaona tu kwa macho!
 
Back
Top Bottom