Ukisex na mwanamke aliyebreed kuna magonjwa utapata kwenye kibofu.

deecharity

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
900
436
Jaman hv ni kweli uksex na mwanamke aliyekwenye breed inamadhara makubwa kwenye uume? Je ni magonjwa gani hayo?
 

deecharity

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
900
436
muwe waelewa hapo nimeuliza i mean kuna zile mko kwa bed mara wakuta imeanza ghafla. Kumbuka ile haidpend hadi cku zfke smtymc ht akpata strec yoyote znaanza.. Swali ni kuwa je ikitokea hyo hali wapata magonjwa?
 

Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,099
5,009
Naam, kuna tani ya sababu ambapo naweza kusema Usifanye hivyo! Kimsingi, kwa uhalisi ni hakuna madhara lakini kuangalia hygienically, ngono wakati wa hedhi inaweza kufanya baadhi ya maambukizi kwa wanawake kama kwa mtu pia. Kuna sababu nyingi ni kwa nini ni kufanya ngono haifai kwa wakati wa hedhi. Kwanza, wanawake ni rahisi sana na wazi kwa maambukizi iwezekanavyo na magonjwa ya zinaa. Ni mara nyingi sana kwamba mwanamke ambaye alikuwa na ngono mara kwa mara katika kipindi cha hedhi anapata Pelvic inflammatory disease. Aidha, kwa ajili yangu, mbele ya damu giza, juu ya uume wangu inaweza nyanyapaa uzoefu wa kijinsia katika dunia!

pili localy kuna taboo zinazuia hii kitu kwa madai kuwa mwanaume ataugua sana na kukonda kiasi cha kufa (but haina uthibitisho) pili pia wanasema mwanamke akiitumia hiyo kuku dedisha waweza potea kabisa
 

Ndahani

Platinum Member
Jun 3, 2008
17,857
8,672
Kwani usipofanya utakufa? Hata kufikiria kupata dozi katika hali ile huwa sitaki. Na kuna dada anayekubali akiwa kwenye hiyo habari kweli?
 

2my

JF-Expert Member
Jan 30, 2010
287
5
jaman hata haipendez kabisa kwa kipindi mwanamke akiwa kwenye hiyo hali.....
 

Riwa

JF-Expert Member
Oct 11, 2007
2,597
3,018
Jaman hv ni kweli uksex na mwanamke aliyekwenye breed inamadhara makubwa kwenye uume? Je ni magonjwa gani hayo?

Natumai umejibiwa swali lako...lakini ukitaka kiswanglish sema 'anableed', sio 'anabreed'. Ni vitu viwili tofauti.
 

Kereto

Member
Jul 20, 2008
17
1
THANKS FOR UR GOOD QNS.


mwanamke anayekuwa kwenye bleed huwa anatokwa na damu ukeni. damu hiyo huwa inatoka kwenye tumbo la uzazi ambapo kwa hali ya kawaida hakuna maambukizi yoyote kwenye tumbo la uzazi. japo km huyo mwanamke ana maambukizi mengine km HIV basi iyo damu ina uwezekano mkubwa kuwa ina virusi na itakuwa rahisi kwa mwanaume kuambukizwa.

hata hivyo uwezekano mkubwa wa kuambukizana magonjwa mengine ya zinaa kama vile kaswende na gon unakuwa ni mkubwa ukilinganisha na km mke huyo hayupo kwenye bleed.

kwa hiyo basi, uwezekano wa mwanaume kupata UTI (yutiai) au maambukizi ya kibofu cha mkojo ni mdogo sana au haupo kwa mwanaume lakini uwezekano ni mkubwa kwa mwanamke.


kwa maelezo zaidi. napaiya@hotmail.com
 

Wa Ndima

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
1,526
307
Muwe waelewa wanajf, kuna wakati hata mimi nilikuwa nachapa tukijua siku za bleed bado na haikuwa imeonesha lakini wakati wa tendo tena naachia mzigo kucheki kitu imetoka na damu na nyingine kwenye shuka. Sasa je ina madhara?
 

Simcaesor

Senior Member
Jul 15, 2011
112
8
huyu mwana JF anaomba ushauri naona wote mnamponda tu kuna kuzidiwa wakati mwingine, lakini upande wa pili we mwanamke una breed kwanini unamvulia mtu chupi.... kuwa na msimamo upende mwili wako, heshimu maumbile yako..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom