Ukisema ndio we shujaa, ukisema hapana we mwoga....? kwa nini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukisema ndio we shujaa, ukisema hapana we mwoga....? kwa nini??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tasia I, Jun 16, 2011.

 1. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  JF,
  Jamani me katika maisha ya mapenzi ni megndua kitu.
  mara nyingi mwanamke akitongozwa alaf akakataa hua anaonekana
  kama ametulia na ni mwadilif, lakini mwanaume akitongozwa na
  mwanamke(kitu ambachi kimeanza kushika kasi siku hizi) alaf akakataa
  hua anaoneka mwoga, dhaifu au mshamba.

  Kwanza, wewe mJF unalionaje hili, linaukweli kiasi gani kwako?
  na ni kwa nini hua hivi??
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Sijawahi hata kutegwa na mwanamke natamani mmoja atokee
   
 3. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mh! kaka wala uitamani, tena bora akutake tu kwa siku mojambili yaishe.
  akikupenda kabisa utakoma!
   
Loading...