Baraghash
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 2,713
- 1,789
Waswahili wamesema "ukiujua huu mwenzako anaujua huu" Hatimaye mambo yametimia. Ule mtindo wa Tanganyika kuwakandamiza wafanya biashara wa Zanzibar kwa kuwalipisha ushuru mkubwa kwa bidhaa hata sile zitengenezwa na kuzalishwa bara sasa umepata muarubaini.
Wafanya biashara wa Zanzibar sasa wananunua bidhaa za ujenzi, chakula, madawa nk kutoka Kenya ikitumia makubaliano ya masharti nafuu ya Biashara kati ya nchi za Jumuia ya Afrika ya Mshariki. Bidha hizo zinapoingia Zanzibar hazitozwi Ushuru(kodi)
Serikali ya Zanzibar pia imeitikia wito wa serikali ya Tanganyika kufuta mfumo wa kurudishiana maapato ya ushuru kila mwaka na Zanzibar kulazimika kuanzisha kulipisha VAT bidhha zote kutoka bara kwa vile Bara nayo bara inawatoza wafanya biashara kutoka Zazibar ushuru huo.
Kwa maana nengine kuwa Wfanta biashara wa Zanzibar wazidi kushawishika kukimbilia Kenya kwa nugu zetu wa DAMU Mombasa