ukiritimba katika soko la ajira bongo hivi kweli tutafika??

MRSH

Senior Member
Dec 27, 2012
104
195
Wana JF wenzangu!ni tumaini langu kubwa kabisa ya kwamba,wote tupo aware na tatizo hili kubwa kabisa la ukosefu wa ajira.vijana ni waathirika wakubwa kabisa katika nyanja hii kias cha kutishia kupotea kwa nguvu kazi hii muhimu ya taifa.concern yang ni kwamba,ukiritimba ktk ajira.hili c fimbo kwetu wote.si serikalin wala ktk private company.vijana tufanyaje?naomba mchango wenu !
 

Aisatu

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
710
500
Hapo mkuu hatutafika,wanasema;aliye nacho ataongezewa na aliye na kidogo hata icho atanyang'anywa!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom