Ukiposti mambo mtandaoni hakikisha unapost ujinga/utumbo. Watu hawapendi maendeleo, wanatafuta namna ya kukushusha

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,088
2,703
Habari,

Watu ni binadamu wa ajabu sana. Hivyo jichunge sana na vitu unavyopost WhataApp, FB au Instagram, hasa mafanikio yako, ni kweli utapata likes nyingi na hongera lakini jua utakua umeanzisha vita kubwa, hasa kwa wale watu wanaokujua.

Shida n kuwa:-

1. Watu Wana wivu usione wanakupongeza

2. Watu HAWAPENDI watu wengine wafanikiwe wakat wao wanasugua Gaga

3. Watu n wanafiki watakuchekea kumbe imewa-Pain

4. Watu watatafuta namna ya kukushusha

5. Kila mmoja anataka kungara

Usalama wako ni kujiwekea mambo yako private.

Na UKIPOST vitu mtandaon post utumbo ili wajue wewe ni loser wasikupge vita.
 

Attachments

  • 7d8df7eded1845e7beb4ed523ed751cf.jpg
    7d8df7eded1845e7beb4ed523ed751cf.jpg
    24.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom